-
Longhorn: Ukarimu wa Maria Grade 2 (Kiswahili) by Ken Walibora
by Ken Walibora
Wakati wa mapumziko uwanjani, Maria anagundua kuwa rafiki yake Musa hana furaha. Musa amehuzunika na analia. Maria anamtuliza Musa na kuhakikisha kuwa ameanza kutabasamu. Je, Musa alikuwa na matatizo yepi? Maria anamsaidiaje?
Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra. -
Longhorn: Smart Sidi and the Trip to Masembwa … by Ndirangu
by Ndirangu
Schools are closing. Sidi and his family are going to visit Grandmother for Uncle Dan’s wedding. During the wedding, Zawadi disappears with the rings. Sidi, his mother and Aunt Rita start looking for her everywhere. Do they find Zawadi and the wedding rings?
Longhorn Read and Discover is a new series of readers for the Competence-Based Curriculum (CBC) specially written to promote the tore competences and the PCIs (Pertinent and Contemporary Issues) in a fun, educative and entertaining manner. The readers come with a range of activities that will help learners boost their creativity, imagination and critical thinking. -
Longhorn: Madi and the Farm Visit Grade 2 … by Ngoda
by Ngoda
Madi and her family are visiting Grandmother and Grandfather at the farm. While at the farm, Madi forgets to close the chicken coop gate. All the chicken escape from the coop. Will Madi and the family be able to catch all the runaway chickens?
Longhorn Read and Discover is a new series of readers for the Competence-Based Curriculum (CBC) specially written to promote the core competencies and the PCIs (Pertinent and Contemporary Issues) in a fun, educative and entertaining manner. The readers come with a range of activities that will help learners boost their creativity, imagination and critical thinking. -
Mwanasayansi 2f by Egara Kabaji
by Egara Kabaji
Mwanasayansi 2f ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la pili katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.Tami anataka kuwa mwanasayansi. Atafanya nini Hi afikie ndoto yoke?Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. -
Samaki Watatu na Wavuvi by Sasa Sema
by Sasa Sema
Walikuwa samaki watatu wenye sifa tofauti tofauti. Wavuvi wawili walitaka kuwavua. Kunaswa au kutonaswa kwao kutategemea akili za kila mmoja wao.
Samaki Watatu na Wavuvi (Pepea na Kipepeo 28) ni kitabu kinachonuiwa kumpa mwanafunzi fursa ya kufanya mazoezi ya kusoma kwa ziada huku akijiburudisha na kujifunza mambo kadhaa muhimu. Kinaweza kutumiwa pamoja na kitabu chochote cha kozi. -
-
Conquire Vocubulary Workbook GD2
Designed to enhance students’ vocabulary through themes and topics.
Provides challenging and interesting exercises for ample practice.
With answers for easy and quick self-assessment
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books