-
KShs940.00
-
A Fool’s Money and other Stories Grade 5
by Storymoja
Okal wants to make money. Will he be able to? Gitonga’s donkey is flogged mercilessly. Who will come to it’s rescue? Alupe agrees to eat sweet groundnut cake. What happens to him? Aluku and Naliaka set a trap to catch the night runner. How does that go? Read these stories to follow the different characters and learn important lessons about gambling, animal rights, kindness, and obedience.
KShs465.00A Fool’s Money and other Stories Grade 5
KShs465.00 -
A LIVING MATHEMATICS FOR ECD by Patrick Migui
by Patrick Migui
KShs230.00 -
A to Z Children’s Dictionary by Muitungu
by Muitungu
A to Z Children’s Dictionary is an English dictionary targeting anyone who is starting to read and learn in English. It provides simple and clear meanings of over 2 000 headwords. Each meaning is accompanied by an example sentence. The example sentences are drawn from the African context. There are over 600 colour pictures to enhance understanding of how to use the words correctly. The fun activities are tailored to enhance the acquisition of dictionary skills.KShs850.00A to Z Children’s Dictionary by Muitungu
KShs850.00 -
-
Access Kiswahili Sahili GD4 (Approved)
Kiswahili Sahili, Gredi ya 4, ni kitabu kinachompa mwanafunzi fursa nzuri kutangamana na Mtaala wa Kiumilisi kupitia
mada na shughuli alizoandaliwa. Lengo hasa la mtaala huu mpya ni kumwezesha mwanafunzi kupata maarifa pamoja na kumjengea
umilisi mzuri wa masuala na maaarifa mbalimbali ili aweze kuyatumia katika maisha yake ya kila siku.
Kitabu hiki kinampa mwanafunzi nafasi ya kujenga umilisi wake katika lugha ya Kiswahili kupitia stadi zilizoshughulikiwa
humu.Kitabu hiki kinashughulikia kusikiliza na kuzungumza kwa namna inayomwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 4 kujenga
matamshi, kutumia lugha vizuri kulingana na muktadha. Sehemu ya kusoma inampa mwanafunzi mbinu za kusoma kwa ufahamu,
kusoma kwa kina na kusoma kwa mapana na hivyo kumwezesha kujenga ufasaha wake, wa lugha. Kitabu hiki kinaangazia
stadi ya kuandika ambapo mwanafunzi anaongozwa hatua kwa hatua jinsi ya kuandika tungo za namna mbalimbali.
Sehemu ya sarufi inampa mwanafunzi fursa ya kujenga umahiri wake wa kutumia lugha kwa ufasaha.KShs600.00Access Kiswahili Sahili GD4 (Approved)
KShs600.00 -
KShs660.00
Access Kiswahili Sahili Grade 6 (Approved)
KShs660.00 -
Access Tuchangamkie Kusoma Grade 6
by ACCESS
Tuchangamkie Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya rejea kuhusu stadi ya kusoma. Chini ya mfumo wa Mtaala wa Kiumilisi (CBC), stadi ya kusoma imepewa nafasi mahususi ambapo mbinu na aina za kusoma vinatiliwa mkazo,ili kutosheleza mahitaji haya ya mtaala wa Kiumilisi, vitabu vya Tuchangamkie Kusoma_ vimeandikwa kukidhi haja ya wanafunzi wa Gredi ya 4, 5 na 6 kuambatana na mahitaji hayo ya Mtaala wa Kiumilisi.
Kitabu hiki kinashughulikia aina zote za kusoma: kusoma Kwa ufasaha, kusoma kwa kina, kusoma kwa ufahamu na kusorma kwa mapana kwa nijia rahisi na nyepesi kueleweka. Kina mifano ya kutosha na mazoezi maridhawa yanayompa mwanafunzi umilisi ufaao kuyakabili maisha na kumwandaa vyema kwa ajili ya mitihani yake.
KShs650.00Access Tuchangamkie Kusoma Grade 6
KShs650.00 -
Ajali ya Keki 3A
by STORYMOJA
Mpango wa Leshan, Aida na marafiki zaounatumbukia nyongo baada ya qjali ya keki. Je, wa kulaumiwa ni nani?Wataendelea na mpango wao au watautupilia mbali? Unafikiri mbuzi kisirani anayeleta hasara anafaa kufanyiwa nini? Soma hadithi hizi ufahamu jinsi Aida na nduguye Leshan pamoja na marafiki zao wanavyokabiliana na changamoto mbalimbali huku wakijifunza umuhimu wa_ kushirikiana, kuheshimiana na kudumisha upendo katika jamii.
Ajali ya Keki na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zinazolenga kukuza maadili ya upendo, umoja na heshima miongoni mwa wasomaji.
KShs450.00Ajali ya Keki 3A
KShs450.00 -
Akili pevu Kiswahili Angaza Kitabu cha Mwanafunzi Grade … by Shabaan Otieno, Mziwanda…
by Shabaan Otieno, Mziwanda Banda
Kiswahili Angaza ni kazi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu: 1. Kusoma ni kutagusano; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi; 2. Wanafunzi wancionza kilo somo kwa kuelezea picha au hall amo matukio wanayoyafomu huku wakijadiliana; 3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambuo, kubainisha, kujenga na kuhakiki; 4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno no isiyokuwa no maneno mogumumagumu no misomiati ya kubaboisha; 5. Mwanafunzi no mwanafunzi mwenzoke, pamoja na mwolimu, mzazi na hata jornii nzimo wanashirikishwa ndani ya kitobu hiki.KShs550.00 -
Art & Craft Grade 4 Learner’s Book
Longhorn Art and Craft Learner’s Book for Grade 4 is a book that comprehensively and exhaustively covers the new competence-based Art and Craft curriculum for Grade 4. The activities promote the acquisition of core competences, relevant Art and Craft skills, positive values and, pertinent and contemporary issues (PCIs) as outlined in the curriculum.
The book:
* Has well-sequenced and simplified approaches to Art and Craft techniques that encourage learning by doing.
* Has step-by-step demonstrations with clear illustrations to guide the learner in carrying out given tasks with ease. ,
* Provides a range of practical activities that build on the competences and empower learners to solve everyday problems by applying their creativity and critical thinking skills.
* Provides easy-to-type video clip names in the Digital Spot section that demonstrate suggested techniques while enhancing learner’s competence in digital literacy.
* Has extended activities that allow learning to take place at home hence giving parents or caregivers a chance to contribute to the learning outcomes for their children.
KShs561.00Art & Craft Grade 4 Learner’s Book
KShs561.00