-
Longhorn :Sudi na Shada Wasoma Kazi Mbalimbali Grade … by Ngugi
by Ngugi
Sudi na Shada ni wanafunzi ambao wanasoma katika gredi ya tatu. Wanasoma kwa bidii ili kufanya kazi mbalimbali. Je, Sudi na Shada wanataka kufanya kazi zipi maishani? Fikra zao kuhusu kazi hizi ni zipi?
Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra. -
Phoenix Hatua za Kiswahili Rasmi GD3 (Approved) by “Momanyi,Mutuku”
by “Momanyi, Mutuku”
Hatua za Kiswahili Rasmi, Kitabu cha mwanafunzi ni mfululizo wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa ufundi kwa kufuata mtalaa mpya unaosisitiza umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunz: kukuza weledi wake katika stadi za kusikiliza na kuzungumza, sarufi na matumizi ya lughakusoma na kuandika. Vitabu hivi vina sifa zifuatazo:– Mada kuu zilizopangwa kwa kuzingatia ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 3 ili kurahisisha utumiaji.
– Vipindi vilivyopangwa kushughulikia mada ndogo mbalimbali kulingana na ruwaza ya mtalaa.
– Picha na michoro iliyochorwa kwa rangi za kupendeza ili kuvutia usomaji na ujifunzaji.
– Maswali dodoso yanayochochea uwezo wa mwanafunzi kufikiria na kudadisi masuala mbalimbali.
– Kazi za ziada na majaribio yanayomhusisha mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawiliwawili na wanafunzi kwenye makundi katika shughuli ainaaina.
– Mradi wa nyumbani unaowahusisha wazazi na walezi katika ujifunzaji wa Kiswahili na pia kukuza uwajibikaji.
– Hadithina utajiri wa shughuli nyingine zinazokuza umilisi wa kimsingi wa lugha ya Kiswahili na zilizooanishwa na masuala mtambuko, maadili chanya miongoni mwa masuala mengine.
– Matumizi ya teknolojia kwa mfano kusikiliza sauti redioni na unasaji sauti kwa kutumia simu na vifaa vingine vya kiteknolojia. -
OUP Everyday Hygiene & Nutrition Grade 3 Workbook
Everyday Hygiene and Nutrition Activities Workbook is a unique fun-filled series that comprehensively covers the new competency-based curriculum. Each book in the series is well-researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skills, values and attitudes.
-
Longhorn: Sudi na Shada Wamwokoa Luka GD3 by Momanyi
by Momanyi
Sudi na Shada Wamwokoa Luka
Luka anakosa masomo ya gredi ya pili. Sudi na Shada wanaonesha ujasiri kwa kuhakikisha kuwa wamempata Luke na kumsoidia kurudi shuleni. Je, Luka alikuwa wapi? Ni mambo yepi yalikuwa yanamzuia Luke kusorna no wenzake?
Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewawao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanefunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra. -
Cut Their Hair! by Oxford
by Oxford
King Lion goes on a journey. Leopard becomes the new king. Leopard does not treat the animals well. Read this story and find out what happens in the end. -
Tops Extension Shughuli za Lugha GD3
Tops Extension is developed to help learners acquire the core competencies in the new curriculum.
The Workbook is easy to use, has a variety of activities, therefore, making learning enjoyable. -
OUP New Progressive Primary English Activities Teachers Guide … by Oxford University Press
by Oxford University Press
Teacher’s Guide – Grade 3 New Progressive Primary English Activities is a series specially written to provide ion of language skills for the new competency-based curriculum. Books in the series provide a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at acquisition of the core competences, values, and pertinent and contemporary issues (PCIs). The Teacher’s Guide has a wealth of practical activities for developing competences in learners. It supports teachers by offering the following:- A detailed introduction to the new competency-based curriculum.- A detailed work schedule to help the teacher pace the lessons.- A sample lesson presentation to assist the teacher to plan the lessons.- Helpful hints on class management, groupwork and differentiated learning.- Detailed formative assessment assistance.Together, the Learner’s Book and the Teacher’s Guide provide learners and petency-based curriculum. Oxford, your companion for success! -
Longhorn CRE Activities Learner’s Book Grade 3 by Longhorn
by Longhorn
Longhorn CRE Activities Grade 3 Learner’s Book, is the third competence-based book to be developed. This book categorically follows the New Competence-based Curriculum.
This book actively engages the learner in class, in school, at home, at church, and elsewhere in society. The learner freely and easily interacts with the book.
This book comprehensively covers all the strands and sub-strands highlighted in the Grade 3 syllabus. It also has some unique features such as:
• Individual, pair, and group learning activities in all strands.
• Songs, poems and Bible quotes that enable the learner to easily understand the sub-strands being taught.
• Pertinent and contemporary issues in an interactive and learner-friendly manner.
• Full-colour illustrations, photographs, and an attractive design to make the book appealing.
• Summary notes to various concepts in the different strands. Summarised content at the end of each strand, titled What I have learned’ and What I will do!
Accompanying this Activity Book is a comprehensive Teacher’s Guide with competency-based Teaching Guidelines and assessment techniques. -
Longhorn Kusoma na kuandika Katika Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi… by Longhorn
by Longhorn
Kusoma na kuandika katika Kiswahili, Gredi ya 3 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi
wa maarifa.Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi, stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo mema na maadili ya kimaisha pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani.
Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku pamoja na masuala na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari ili kukuza ujuzi wa mwanafunzi na kuimarisha stadi za kimaisha za kutatua matatizo ya wanafunzi katika jamii.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books