-
Swila Arejea na Hadithi Nyingine 3C
by STORYMOJA
Buku anafurahia kula chakula kitamu cha mchwa wa kukaangwa kwa supu moto ya karoti wakati Kitiyi, nguchiro mdogo, anapobisha mlango wake. Buku anakataa kufungua mlango akisema hayuko tayari kushiriki chakula chake na wageni. Je, Buku atamruhusu Kitiyi kuingia nyumbani kwake?
Wazazi wa Kitiyi wanazama kwenye mafuriko ya mtoni, Kitiyi analazimika kutafuta msaada kutoka kwa Buku na Swila. Je, wanyama hawa wataungana kuwasaidia wazazi wa Kitiyi?
Sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa Swila inakaribia. Swila pia atamhitaji Buku kumpika kwenye sherehe yake. Je, Buku yuko tayari kumsamehe Swila na kumsaidia kupika?
Swila Arejea na Hadithi Nyingine humsaidia msomaji kuchunguza umuhimu wa kuwaonyesha watu upendo, kumheshimu kila mtu na kuishi kwa umoja.
-
Made Familiar: Maandazi ya Haiba Level 3
by EMMANUEL
Haiba na marafiki zake wanataka kumnunulia Baraka zawadi anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa. Baraka anaishi na nyanya yake ambaye anaugua. Hata hivyo, kina Haiba hawana pesa. Wanaamua kutafuta njia ya kujitafutia pesa. Je, watafaulu?
-
Longhorn: Sudi na Shada Wamwokoa Luka GD3
by MOMANYI
Sudi na Shada Wamwokoa Luka
Luka anakosa masomo ya gredi ya pili. Sudi na Shada wanaonesha ujasiri kwa kuhakikisha kuwa wamempata Luke na kumsoidia kurudi shuleni. Je, Luka alikuwa wapi? Ni mambo yepi yalikuwa yanamzuia Luke kusorna no wenzake?
Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewawao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanefunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.
-
Made Familiar: A Gift to Grandfather Level 3
by ZAWADI
Maya and her brother Kirui visit their grandfather. They find him using a stick cut from a tree branch to support himself. Maya thinks that the stick is too weak but Kirui and grandfather believe that the stick is just okay. Maya is not satisfied. She thinks her grandfather deserves a brand-new crutch. How will she raise the money to buy one?
-
Karamu ya Nyani na Kobe 3B
by STORYMOJA
Urafiki wa Nyani na Kobe ni wa kupigiwa mfano pale msituni. Marafiki hawa wawili wana ushirikiano mkubwa hadi pale Nyani anapomwandalia mwenzake karamu. Je, ni matukio gani yanayofanyika karamuni? Kobe atamwandalia karamu rafikiye Nyani pia au atauvunja urafiki wao
-
Longhorn English Activities Grade 3 Teachers Guide (Approved)
by LONGHORN
Longhorn English Activities Teacher’s Guide Grade 3 is specifically developed in line with the new competency-based curriculum. It comprehensively covers all the topics and learning objectives highlighted in the English Activities curriculum.
This Teacher’s Guide makes the teaching of English easy and enjoyable by:
• Highlighting both the competencies and the expected learning outcomes;
• Helping the teacher in content interpretation and analysis;
• Giving additional information to the teacher and outlining activities that are appropriate in attaining competence-based learning;
• Guiding the teacher on how to cover comprehensively all the pertinent and contemporary issues;
-
Queenex Early Learning Jambo Colour 3
by QUEENEX
Jambo Colouring Book 3 introduces the child to the world of colouring. The illustrations used are those that a child interacts with in their immediate environment. The book gives the child an opportunity to explore the colours and enhance their FINE MOTOR CONTROL through colouring’ the pictures provided. It is ideal for both school and home use.
-
Longhorn Kusoma na kuandika Katika Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi 3
by LONGHORN
Kusoma na kuandika katika Kiswahili, Gredi ya 3 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi
wa maarifa.Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi, stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo mema na maadili ya kimaisha pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani.
Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku pamoja na masuala na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari ili kukuza ujuzi wa mwanafunzi na kuimarisha stadi za kimaisha za kutatua matatizo ya wanafunzi katika jamii.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books