-
Moran Skills in English Activities Learner’s book Grade 2
by Beth Chege, Grace Nanjendo, Hukka Wario
Skills in English is a complete English course developed in line with the Competence-Based Curriculum. The course offers the learners appropriate skills, knowledge, values and attitudes necessary for learning English as a learning area and as a language of communication. The text is presented in a manner that stimulates learning. The course has been prepared after in-depth research. It employs an inquiry-based approach to learning in all activities which equip learners with the necessary competencies. skills and the quest to learn and discover on their own.
The course:
Encourages the use of learning materials from the learner’s immediate environment thus giving the learner an opportunity to learn from what they already know
Has a variety of activities which enable learners to learn and explore
Covers all the outcomes in the syllabus
Has activities which integrate the core competencies. values and pertinent and contemporary issues
Has activities to encourage parental involvement in the learning of the children
Has activities that enable learners to appreciate and improve their community
Has activities which enhance literacy and communication skills.
-
Longhorn Kusoma na Kuandika Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi … by Hezekiel Gikambi,Henry T…
by Hezekiel Gikambi, Henry T. Indindi, Danson Khasiani, Rachel Maina.
Kusoma na Kuandika katika Kiswahili, Gredi 2 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi, stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo miema na maadili ya kimaisha pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani. Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku pamoja na masuala ya kisasa na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari tanduizi iii kukuza ujuzi wa kutafakari na kuimarisha stadi za kimaisha za usuluhishaji wa matatizo iii kukidhi mahitaji ya wanafunzi katika jamii. -
Mpira wa Nyau na Hadithi Nyingine 2B
by STORYMOJA
Nyau anafurahia kupata mwaliko kuhudhuria arusi ya rafiki yake Chichi. Je, ni dansi za mbwa Zinazowafurahisha wanyama au ni vyakula Vitamu vitamu? Je, uamuzi wa paka kuwashtaki mbwa kwa mfalme wa mbwa utazaa matunda? Soma hadithi hizi ujue umuhimu wa urafiki kama ule wa Tutu na Nyau.
Mpira wa Nyau na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zinazolenga kukuza maadili ya upendo, heshima na umoja miongoni wa wasomaji.
-
Mentor Movement Activities Grade 2
by MENTOR
MENTOR Movement Activities Grade 2 workbook is fully in line with the Competency Based Curriculum (CBC).The book is easy to use and contains a variety of learning activities. It makes learning fun for a Lower Primary Learner. This book has been authored by teachers with a wide experience in Early Years Education in leading schools across Kenya.
-
Longhorn English Literacy Activities Learner’s book Grade 2 by Richard Odhiambo Otieno,…
by Richard Odhiambo Otieno, Salome Wenyaa, Margaret Githui, Munira Hussein, Joyce Kung’u, Tonnia Masai
Longhorn English Literacy Activities Grade 2 Learner’s Book is a book based on the new competency-based curriculum. It promotes the acquisition of core competencies, relevant literacy skills, positive attitudes and values by learners. It also promotes practical application of the knowledge gained in class.
Content in the book is based on the general experiences of the learners as well as Pertinent and Contemporary Issues (PCIs) given in the curriculum. The content is organised in simple but thought-provoking activities that promote critical thinking and problem-solving skills as well as the acquisition of important life skills among learners for a responsible response to challenges in the society. -
Longhorn Kiswahili Mufti GD 2 by Wallah
by Wallah
Longhorn Kiswahili Mufti, Gredi 2 (Kitabu cha Mwanafunzi) ni kitabu kilichoandikwa kwa mtindo wa mazoezi kwa kuzingatia mtaala mpya unaokusudiwa kujenga ujuzi wa mwanafunzi kupitia utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kimetimiza kikamilifu mahitaji ya mada zote za silabasi mpya ya somo la Kiswahili kwa wanafunzi wa gredi ya pili.
Vilevile, kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi ili kueleweka kwa urahisi na. wanafunzi wa gredi ya pili kutoka katika mazingira mbalimbali. Msamiati uliotumika unaafikiana vyema na uwezo wa lugha ya wanafunzi katika kiwango hiki. Kimeshughulikia masuala ibuka kama vile: usalama, maadili, lishe bora, usafiri, utangamano, maarifa ya ujasiriamali, elimu endelevu, jinsia, teknolojia na mazingira. Pia, michoro ya kuvutia imetumiwa ili kumsaidia mwanafunzi kufahamu yaliyomo kwa urahisi na kuweza kuyahusisha maarifa na mazingira yake.
Kitabu hiki kina mwongozo wa mwalimu ambao utampa mwalimu maelezo na maelekezo kamili kuhusiana na mbinu mwafaka za kutayarisha, kuendesha na kutathmini uwezo wa utendaji wa wanafunzi na umahiri wao katika somo la Kiswahili. -
Nyota ya Kiswahili Grade 2 by Obura Odhiambo, Bwanaher…
by Obura Odhiambo, Bwanaheri A. Salim, Dorothy K. Nganje, Nelly Kitonga
Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wo vitabu vya kiada kwa Gredi yo Pili. Kimeandikwo kuombotana no mtoloo mpyo. Kitobu hiki kimelenga kumwongoza mwonafunzi katika masomo yoke yo lugha ya Kiswahili kwa kutimiza moarubu yo mtolao wa kiwango husika. Ndani yoke mno mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yoo. Kimezingatia stadi zote zo kujifunza lugha, rani: (i) Kusikiliza (ii) Kuzungumza (iii) Kusoma (iv) Kuondika (v) Msamiati
(vi) Sarufi Mwanafunzi amepewa nafasi ya kujifunza mwenyewe kutokana na picha maridhawa, hadithi, mashairi na michezo murua. Ili kuzidisha hamasisho la ujifunzaji, mwongozo maalumu umeandaliwa iii kuwapa walimu mbinu thabiti za kuuchochea ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi. Ili kutathmini kiwango cha ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi kitabu hiki kimetoamazoezi ya kutosha yatakoyowowezesho kupato: • Umilisi wa kimsingi • Maadili ya kimsingi • Uwezo wa kuyashughulikia masuala mtambuka Zaidi ya hayo uchochezi huo huwafahamisha namna ya kulinganisha uhusiano wa modo watiyojifunza;
Kitabu hiki kimeandikwa na waandishi wenye tojiriba pevu. Womekomaa kwenye stadi ya uondishi wa vitabu vya kiado. -
OUP Growing in Christ CRE Grade 2 Workbook
Growing in Christ CRE Activities Workbook is a unique fun-filled series that comprehensively covers the new competency-based curriculum. Each book in the series is well-researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skills, values and attitudes.
-
Twiga Books Mathematics Multiplication Phase 2 Book 11 Grade 2
by TWIGA SOMA AFRICA
This series of Math Books is full of fun activities designed for early learners to develop pencil control and early writing skills. The books are an excellent foundation to help children confidently approach Math.
Teach children multiplication tables the fun way. Start with the “easy” multiplication facts and graduaily complete all numbers up to 12. The children will have fun discovering how easy it is to learn and memorize the multiplication table from the multiplication chart.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books











