-
Storymoja Know More Kiswahili GD2 by Nyambeka
by Nyambeka
Know More Kiswahili Activities Kitabu cha Mwanafunzi wa Gredi 2 kimeandikwa kwa kuzingatia yaliyomo kwenye ruwaza ya mtaala mpya wa kiumilisi ili kumfaa mwanafunzi kutekeleza shughuli mbalimbali za ujifunzaji. Shughuli zilizopendekezwa katika kitabu hiki zitamwezesha mwanafunzi kuwa na umilisi wa stadi mbalimbaii.
Sifa zake kuu -
JKF Primary Mathematics GD2 Trs (Approved) by “Waichanguru,Ndungu”
by “Waichanguru, Ndungu”
This guide has been written for use with the corresponding Primary Mathematics Learner’s Activities Book for Grade 2. It offers guidance on how to effectively deliver competence-based curriculum.
Its special features include:
° Comprehensive teacher’s notes to assist the teacher in lesson planning.
° An easy-to-follow approach to delivering desired learning outcomes.
° Pupils’ pages are reproduced in the guide to ease cross-reference.
° Answers to exercises.
° A practical guide to making and using learning resources.
° A section dedicated to relevant mathematical games.
The book is an ideal reference and learning resource for researchers, teachers and parents. -
EAEP Akili pevu Kiswahili Angaza GD2 Trs (Appr) by Banda
by Banda
Kiswahili Angaza ni kazi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu: 1. Kusoma ni kutagusano; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi; 2. Wanafunzi wancionza kilo somo kwa kuelezea picha au hall amo matukio wanayoyafomu huku wakijadiliana; 3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambuo, kubainisha, kujenga na kuhakiki; 4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno no isiyokuwa no maneno mogumumagumu no misomiati ya kubaboisha; 5. Mwanafunzi no mwanafunzi mwenzoke, pamoja na mwolimu, mzazi na hata jornii nzimo wanashirikishwa ndani ya kitobu hiki. -
KLB Visionary Mathematical Activities GD 2 by Irumbi Samuel, Kimere K.…
by Irumbi Samuel, Kimere K. Patrick
KLB Visionary Mathematical Activities Grade Two is a learner’s workbook developed by a team of experts with long standing experience in teaching and curriculum development.
The learner’s workbook contains: -
Spotlight English Activities GD2 Trs (Approved) by Nakholi,Kabura,Munyi,
by Nakholi, Kabura, Munyi,
Spotlight English Activities Teacher’s Guide Primary Grade 2 has been uniquely designed to greatly benefit the teacher in handling the New Curriculum for Primary Grade 2 English Activities. It guides the teacher to comprehensively cover the Primary Grade 2 English Activities Curriculum Designs as per the Competency-based Curriculum introduced by the Kenya Institute of Curriculum Development (KICD) in 2017. It is presented in a clear, simple and precise language that makes teaching and learning both stimulating and interesting. :
Key Features of the Guide: -
Spotlight Kurunzi ya Kiswahili GD2 Mwalimu by Matei
by Matei
Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwalimu Gredi ya Pili kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwalimu kumudu mtaala mpya 2017 unaolenga umilisi kwa mwanafunzi haswa katika shughuli za ufunzaji na ujifunzaji.
Kitabu hiki- Kimeshughulikia mada kwa namna ambayo inamwezesha mwanafunzi kushiriki kikamilifu katika ujifunzaji.
- Mada na shughuli za darasani zimeteuliwa kwa uangalifu kumjengea mwanafunzi umilisi wa aina mbalimbali.
- Kuna mazoezi na mijarabu anuwai (mazoezi, shughuli kwa mwanafunzi, miradi, mijarabu ya mwisho wa mada) kumwezesha mwalimu kupima umilisi wa mwanafunzi wa stadi mbalimbali za lugha.
- Picha halisi na michoro ya kuvutia zinazosaidia katika uelewa wa mada.
- Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia wifaa vya tekrrolojia kama vile video, redio, tabuleti katika kurahisisha ujifunzaji.
- Mbinu tofauti za ufunzaji zimejumuishwa kama vile miradi shambani, shughuli nje ya darasani katika jamii (shambani, dukani, sokoni, usafi), kumwalika mgeni (wa usalama, usafi, mtaalamu), kutumia nyimbo, mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi, uchoraji na ujifunzaji katika vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kujenga umilisi wa mwanafunzi.
- Masuala mtambuko na kuhusisha maadili kujenga mada tofauti imeshughulikiwa.
- Kitabu cha mwalimu kipo ili kumpa mapendekezo katika ufunzaji.
-
Smart New curriculum Encyclopaedia GD2 by Mwende
by Mwende
It covers all the aspects of the Competency Based Curriculum which are relevant and essential for the learners to explore diversity of talents and abilities to cope with daily challenges.
The book is divided into three sections as follows:
(i) Revision exercises for every sub-strand which carry 10 questions each.
(ii) Home/community activity after every revision exercise which promotes parental engagement, community service learning as well as pertinent and contemporary issues (P.C.I)
(iii) Homework for April, August and December Holidays which is in form of Model Test Papers. -
Atfaal IRE Activity Pupil’s book Grade 2 by F. Shariff
by F. Shariff
As the main shift in Education now is moving from content based on competence based, this Atfaal IRE Activity Pupil’s Book Grade One is carefully crafted to attain this outcome. A competency-based curriculum is mainly achieved through learner-centered approaches. Therefore, all the activities in this book are learner-oriented where the learner takes the lead. Moreover, stimulating and fun activities are also in plenty to arouse interest and curiosity in the learners. The activities are also short and varied to sustain the limited attention span of our young learners. -
Storymoja Know More Hygiene & Nutrition Activities Grade2 by Joy Kasandi & Josephine …
by Joy Kasandi & Josephine Kavochi
Know More Hygiene and Nutrition Activities Learner’s Workbook for Grade 2 is written in conformity to the new competency-based curriculum design to assist learners to carry out various interactive environmental learning activities and experiences.This will, in turn, provide learners with opportunities to develop core competences, core values, skills and attitudes. Key features • A detailed coverage of all the required curriculum design strands and sub-strands. • Interactive learner-centred learning activities and experiences. • Learner-centred activity questions for each learning experience. • Choice of learning activities that take care of learners with special needs. • Use of clear, varied, relevant and well-captioned illustrations to support text. • Interactive activity questions for each learning experience. • Community service learning activities that help in building collaborative relationships between schools and families. • Integration of Information and Communication Technology (ICT) in the learning activities. • Promotion of inclusivity and gender parity through text and illustrations. The authors of this book have taught young learners for many years.They have vast and tested experience in handling learners of this level. -
Spotlight English Activities Primary grade 2 by Spotlight
by Spotlight
Spotlight English Activities Pupil’s Peek Grade 2 has been uniquely designed to greatly benefit Primary Two pupil in handling New Curriculum English Activities. It comprehensively covers Primary 2 English Activities Curriculum Designs as per the Competence-based Curriculum introduced by the Kenya Institute of Curriculum Development (KICD) in 2017. h is presented in a clear, simple and precise language that makes teaming interesting.
Key Features of the Book • Covers all the themes, strands, sub-strands and learning outcomes of the Primary English 2 Competence-based Curriculum. • Relevant learning experiences are provided in form of activities within the level of the learners. • All the lour language skills. concepts and competences are addressed per curriculum demands. • Encourages leamer-centered learning approaches by use of practical and group work activities wi. examples. • Attractive full-colour Illustrations are used to clarify language concepts. • Develops concepts by using environment and real-life experiences to foster skills, attitude, and values in learners. • Numerous relevant Assessment Activities have been carefully developed per language skill. • Practice Activities are provided for each skill to assess developed concepts for respective learning outcome. Sum It up activities are provided at the end of theme for formative assessment. • Learner-centered approaches. discovery-based and Inquiry-based activities have been applied to develop concepts, core competence, values and Pertinent Contemporary Issues (PCP). • A Teacher’s Guide is available for this title.
Other books in this series include: • Spotlight Hygiene of nutrition Activities Plisitt’s book 0…1 • Spotlight Environmental activities -
Storymoja Know More Hygiene&Nutrition Gd2Trs (Appr by “Kadasia,Kelemba”
by “Kadasia, Kelemba”
Know More Hygiene and Nutrition Activities Teacher’s Guide for Grade 2 is written in conformity to the new competence-based curriculum. It will assist teachers to effectively deliver the content of Know More Hygiene and Nutrition Activities Learner’s Workbook for Grade 2. -
Spotlight Kurunzi ya Kiswahili GD2 by Matei
by Matei
Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi yo Pili kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha. mwanafunzi kumudu mtaala mpya 2017 unaolenga umilisi kwa njia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ufunzaji.
Sifa za kitabu hiki:- Kimeshughulikia mada kwa namna ambayo inamwezesha mwanafunzi kushiriki kikamilifu katika ujifunzaji.
- Mada na shughuli za darasani zimeteuliwa kwa uangalifu kumjengea mwanafunzi umilisi wa aina mbalimbali.
- Kuna mazoezi na mijarabu anuwai (mazoezi, shughuli kwa mwanafunzi, miradi, mijarabu ya mwisho wa mada) kumwezesha mwalimu kupima umilisi wa mwanafunzi wa stadi mbalimbali za lugha.
- Picha halisi na michoro ya kuvutia zinazosaidia katika uelewa wa mada.
- Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia wifaa vya tekrrolojia kama vile video, redio, tabuleti katika kurahisisha ujifunzaji.
- Mbinu tofauti za ufunzaji zimejumuishwa kama vile miradi shambani, shughuli nje ya darasani katika jamii (shambani, dukani, sokoni, usafi), kumwalika mgeni (wa usalama, usafi, mtaalamu), kutumia nyimbo, mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi, uchoraji na ujifunzaji katika vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kujenga umilisi wa mwanafunzi.
- Masuala mtambuko na kuhusisha maadili kujenga mada tofauti imeshughulikiwa.
- Kitabu cha mwalimu kipo ili kumpa mapendekezo katika ufunzaji.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books