-
Mpira wa Nyau na Hadithi Nyingine 2B
by STORYMOJA
Nyau anafurahia kupata mwaliko kuhudhuria arusi ya rafiki yake Chichi. Je, ni dansi za mbwa Zinazowafurahisha wanyama au ni vyakula Vitamu vitamu? Je, uamuzi wa paka kuwashtaki mbwa kwa mfalme wa mbwa utazaa matunda? Soma hadithi hizi ujue umuhimu wa urafiki kama ule wa Tutu na Nyau.
Mpira wa Nyau na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zinazolenga kukuza maadili ya upendo, heshima na umoja miongoni wa wasomaji.
-
Tumbili na Kinanda Grade 6
by StoryMoja
Tumbili anakiiba kinanda cha Mzee Tumbo. Anakitumia kinanda hicho kuwatumbuiza wanyama wa pori wanaofika kwenye himaya yake kila siku ili kusakata rumba wawili : wawili. Tumbili anajipata mashakani baada ya kubainika kuwa kinanda chake chenye mvuto wa sauti kilikuwa kifaa cha mzee Tumbo. Hukumu yake ilikuwa mijeledi ishirini kwa shtaka la – kwanza, na mijeledi mingine ishirini kwa shtaka la pili pamoja ,na kazi ya sulubu; Kazi ya Nyani na Tembo inadhihirika punde tu hukumu inapotolewa. Je, Tumbili atastahimili adhabu hiyo?
Soma hadithi ya Tumbili na Kinanda ufahamu kilichomfika Tumbili baada ya hukumu kutolewa kuhusu wizi alioutekeleza.
-
Nyota ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi Grade 1
by Bwanaheri A.Salim, Dorothy K
Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wa vitabu vya ziada kwa Gredi ya Kwanza. Kimeandikwa kuambatana na mtalaa mpya. Kitabu hiki kimelenga kumwongoza mwanafunzi katika masomo yake ya lugha ya Kiswahili kwa kutimiza rnaarubu ya mtalaa wa kiwango husika. Ndani yake mna mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yao.
Kimezingatia stadi zote za kujifunza lugha, yaani:
(i) Kusikiliza
(ii) Kuzungurnza
(iii) Kusoma
(iv) Kuandika
(v) Msamiati
(vi) Sarufi
-
The Art Centre and other Stories 1A
by Storymoja
Angela, her brother Ethan and their mother visit Ubunifu Art Centre. However, Angela gets lost. What does she do? Who helps her find her mother and brother? Read this story and the others in this exciting book to find out what happened.
The Art Centre and Other Stories is a collection of three stories that are easy to follow and fun to read. You will not only enjoy the adventures that Angela, her brother and friend had, but also learn some values such as patriotism, integrity, social justice and love.
-
Nyota ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi Grade 1
by Bwanaheri, A Salim, Dorothy K.Nganje
Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wa vitabu vya ziada kwa Gredi ya Kwanza. Kimeandikwa kuambatana na mtalaa mpya. Kitabu hiki kimelenga kumwongoza mwanafunzi katika masomo yake ya lugha ya Kiswahili kwa kutimiza rnaarubu ya mtalaa wa kiwango husika. Ndani yake mna mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yao.
Kimezingatia stadi zote za kujifunza lugha, yaani:
(i) Kusikiliza
(ii) Kuzungurnza
(iii) Kusoma
(iv) Kuandika
(v) Msamiati
(vi) Sarufi
-
KLB top Scholar IRE Grade 7 (Approved)
by Omar, Ibrahim, Nalasa
KLB TopScholar Islamic Religious Education Learner’s Book for Grade 7 comprehensively covers IRE concepts outlined in the Competency Based Curriculum Designs for Grade 7.
The course book is intended to develop indepth knowledge of Islamic Religious Education concepts in the learner. The content covers the following strands: Qur’an, Hadith, Pillars of Iman, Devotional Acts, Akhlaq, Muamalat and Istamic Heritage and Civilisation.
-
KLB Visionary English Activities Learner’s Book Grade 3 by KLB
by KLB
KLB Visionary English Activities for Grade 3 is a learning area that aims at instilling in the learners the ability to become active listeners and speakers at their level. The learner through engagement becomes confident in expressing their feelings, ideas and opinions. The workbook has been developed in line with the requirements of the new Competency-Based Curriculum and subject design. The text is presented in a simple concise language appropriate to the level of the learner. The style is also simple, making it highly readable and learners will find it easy to understand. The book contains full-colour illustrations designed to hold the attention of the learners. The workbook has employed a learner-centered approach where all experiences are centered on the learner’s interests, knowledge and application to real life situations. Every lesson has something to draw from day-to-day occurrences. The Learner’s Workbook has numerous practical activities for all topics and at the end of every lesson to enable the learner practise learning on their own. -
Longhorn Kusoma na Kuandika Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi … by Hezekiel Gikambi,Henry T…
by Hezekiel Gikambi, Henry T. Indindi, Danson Khasiani, Rachel Maina.
Kusoma na Kuandika katika Kiswahili, Gredi 2 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi, stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo miema na maadili ya kimaisha pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani. Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku pamoja na masuala ya kisasa na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari tanduizi iii kukuza ujuzi wa kutafakari na kuimarisha stadi za kimaisha za usuluhishaji wa matatizo iii kukidhi mahitaji ya wanafunzi katika jamii.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books