Tumbili na Kinanda Grade 6

KShs440.00

In stock

by StoryMoja

Tumbili anakiiba kinanda cha Mzee Tumbo. Anakitumia  kinanda hicho kuwatumbuiza wanyama wa pori wanaofika  kwenye himaya yake kila siku ili kusakata rumba wawili : wawili. Tumbili anajipata mashakani baada ya kubainika kuwa  kinanda chake chenye mvuto wa sauti kilikuwa kifaa cha mzee  Tumbo. Hukumu yake ilikuwa mijeledi ishirini kwa shtaka la – kwanza, na mijeledi mingine ishirini kwa shtaka la pili pamoja ,na kazi ya sulubu; Kazi ya Nyani na Tembo inadhihirika punde tu hukumu inapotolewa. Je, Tumbili atastahimili adhabu hiyo?

Soma hadithi ya Tumbili na Kinanda ufahamu kilichomfika Tumbili baada ya hukumu kutolewa kuhusu wizi alioutekeleza.

Compare
Be the first to review “Tumbili na Kinanda Grade 6”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?