- 
	Kiswahili Angaza Mwanafunzi Grade 6 (Approved)Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 6 ni kitabu kilichotungwa na kusukwa kwa makini na kwa kina kirefu. Kitabu hiki kimetosheleza mahitaji yote ya mtaala waumilisi. Kinakuza umilisi uliopendekezwa kwenye mtaala, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia kwa stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma,Kuandika na Sarufi. 
- 
	Get it Right Kiswahili Kidato 1 na 2 marudioby Kamithi 
 GET IT RIGHT KISWAHILI KIDATO CHA 1 NA 2 ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi wa kupigiwa mfano. Maarubu ya kitabu hiki ni kuwajengea wanafunzi wa kidato cha kwanza na cha pili, msingi thabiti wa kukabiliana na mtihani wa kitaifa (K.C.S.£). Aidha, ni kitabu ambacho kitawafaa pakubwa wanafunzi wa kidato cha tatu na cha nne, wanaotaka kujikumbusha stadi zilizofunzwa katika kidato cha kwanza na cha pili. Kimeandikwa kwa mtindo mwepesi na rahisi kusomeka. Kitabu hiki kina sifa zifuatazo: -  Kimeshughulikia stadi zote zinazostahili kufunzwa katika kidato cha kwanza na cha pili kwa mujibu wa silabasi.
- Kina maelezo ya utondoti ambayo yametolewa kwa lugha rahisi inayowawezesha wanafunzi wa kidato cha kwanza na cha pili kuelewa fika vipengele vyote vya: ufahamu, muhtasari, matumizi ya lugha, uandishi wa insha na tungo za kiuamilifu, fasihi simulizi, fasihi andishi na ushairi bila usaidizi wa mwalimu.
- Kimetoa mifano maridhawa kwa kila stadi pamoja na mazoezi tele baada ya kila mada ndogo na mada kuu. Aidha, majibu ya mazoezi haya yametolewa ili kurahisisha marudio na uelewa wa mwanafunzi.
- Kina mitihani kielelezo inayolenga kunoa makali ya mwanafunzi. Majibu ya mitihani hii yamo kitabuni kwenye kurasa za mwisho.
- Mwandishi wa kitabu hiki ni mwalimu mwenye tajriba pevu ya kufundisha Kiswahili. Amefundisha katika shule mbalimbali humu nchini na kupata matokeo bora katika mitihani ya kitaifa.
 ISBN: 9789966193421 
- 
	Longhorn Smart Score Encyclopaedia GD2 (Vol 1)Longhorn Competence-Based Smart Score Encyclopaedia Grades 1 – 3 series is designed to give learners opportunities to do more practice on the competences envisaged in the new Competence- Based Curriculum for Kenyan Primary Schools. 
- 
	Longhorn Smart Score Encyclopaedia GD2 (Vol 2)Longhorn Competence-Based Smart Score Encyclopaedia Grades 1 – 3 series is designed to give learners 
 opportunities to do more practice on the competences envisaged in the new Competence Based
- 
	Kiswahili Mufti Darasa la 8 by Wallahby Wallah 
 Toleo hili la Kiswahili Mufti 8 linatimiza kikamilifu mahitaji na mada zote za silabasi mpya iliyoanza kutekelezwa shuleni kuanzia 2003. Kitabu hiki kimeandikwa kwa uangalifu mkubwa ili kiweze kueleweka vizuri zaidi na wanafunzi wote kutoka mazingira mbalimbali. Msamiati uliotumika katika vifungu vya ufahamu unaafikiana vyema zaidi na uwezo wa lugha wa wanafunzi katika kiwango hiki. Toleo hili limeshughulikia kikamilifu maswala ibuka kama vile teknolojia ya habari na mawasiliano, katiba, rajua ya 2030, ufisadi na athari zake mbaya, mazingira, haki za watoto, UKIMWI, jinsia na maadili.
- 
	Chemchemi za Kiswahili Kidato cha tatu by Wamitilaby Wamitila 
 Chemchemi za Kiswahili ni mfululizo mpya wa vitabu vya Kiswahili ambavyo vimetayarishwa kwa kufuata silabasi mpya kwa shule za upili. Kitabu cha Chemchemi za Kiswahili,
 Kidato cha Tatu kimezingatia mambo yafuatayo:- Vifungu vya ufahamu vya kuvutia na kusisimua vitakavyompa mwanafunzi mafunzo na mazoezi teletele.
- Â Maelezo na ufafanuzi mustahili wa vipengee mbalimbali vya fasihi andishi na fasihi simulizi.
- Ufafanuzi kwa king kifaacho kuhusu uandishi wa kawaida, uandishi wa kiubunifu, uandishi wa insha na utungaji wa kisanii.
- Uwasilishaji murua na unaoeleweka wa vipengee tofauti tofauti vya sarufi pamoja na mpangilio mpya wa ngeli.
- Usomaji wa makala mbalimbali katika magazeti, majarida, vitabu n.k.
- Mafunzo na mazoezi ya kusikiliza na kuzungumza yanayoburudisha na kushadidia vipengee mbalimbali muhimu kwa kuzingatia kiwango cha mwanafunzi wa kidato cha tatu.
 
- 
	Alive: A New CRE course Form 3 by Petronilla Kidakwa, Jane…by Petronilla Kidakwa, Jane Mbugua, Evelyn Jaoko, Daniel Mirumbe 
 ALIVE: A New Christian Religious Education Course is a series that comprehensively addresses the objectives and requirements of the Christian Religious Education CRE Syllabus for secondary schools. Developed by a team of subject experts and experienced teachers, this innovative series combines knowledge acquisition with fun elements and real-life occurrences to deliver on exciting top-notch learning experience. This series aims at moulding learners into role models in society by instilling positive behavioural change. It also helps them to develop a good attitude and life skills that will enable them to effectively deal with emerging issues. The Student’s Book for Form 3 is skilfully written to enhance the learners’ understanding of the main concepts of the CRE course. It also guides the learners on how to incorporate the concepts and lessons learned in their daily lives.
- 
	Secondary Maths Form 3 Teachers’ guide KLBThis is the third students’ title in the KLB Secondary Mathematics series. It has been extensively updated so as to cater adquately for the new Form Three Secondary Mathematics syllabus. In this edition, Mathematics is presented in a student-friendly manner, with elaborate examples preceding wide-ranging exercises. Mixed exercises are also given to further assist the student in self-assessment on the topics so far met. Each title of the series is accompanied by a teachers’ guide which equips the teacher with vital tips on methodology and provides answers to the revision exercises. 
- 
	Kiswahili Kitukuzwe Kidato Cha 3Hili ni toleo la nne la Kiswahili kwa Kidato cha Tatu, Kitabu cha Wanafunzi. Kitabu hiki ni cha tatu katika mfululizo wa vitabu vinne vya Kiswahili kwa shule za upili. Kitabu hiki kimefuata mfumo wa elimu wa 8-4-4 na kufanyiwa marudio kulingana na silabasi mpya ya Kiswahili ya Kidato cha Tatu 
- 
	Marudio Hima Hima Kiswahili kidato cha 2 (maswali,Majibu,Mazoezi … by Dinah S.Osangoby Dinah S.Osango 
 Marudio Hima Hima Kiswahili Kidato cha 2 ni kitabu cha pili cha marudio katika msururu wa vitabu vinne vya kidato cha kwanza hadi cha nne vya marudio.Vitabu hivi vimetungwa kwa kuzingatia mahitaji ya silabasi pamoja na kumwelekeza mwanafunzi na mwalimu katika kuyaelewa mahitaji kamili ya kila swali. Kinyume na kawaida katika vitabu vya mazoezi na marudio, msururu wa Marudio Hima Hima unazingatia:
 Huu ni msururu wa vitabu ambavyo ni kama vito vya thamana katika kumtayarisha mwanafunzi kukumbana na mtihani wa Kiswahili katika ngazi ya KCSE.Waandishi wa msururu huu ni walimu waliobobea na wenye tajriba. Wamefundisha Kiswahili kwa miaka mingi pamoja na kushiriki katika utungaji na utahini wa mtihani wa Kiswahili wa KCSE.
 Shop By Categories
            - International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
 
			        










