Longhorn Kusoma na Kuandika GD2 Mwalimu

KShs480.00

In stock

Longhorn Kusoma na Kuandika katika Kiswahili, Mwongozo wa Mwalimu Gredi 2 ni kitabu ambacho kinampa mwalimu maelezo na maelekezo kamili kuhusiana na mbinu mwafaka za kutayarisha, kuendesha na kutathmini uwezo wa utendaji wa wanafunzi na umahiri wao katika somo la Kuandika na Kusoma katika Kiswahili.
Mwongozo huu umeandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokusudiwa kujenga ujuzi wa mwanafunzi kupitia utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Pia, mwongozo huu umetimiza kikamilifu mahitaji ya mada zote za silabasi mpya ya somo la Kusoma na Kuandika katika Kiswahili kwa wanafunzi wa gredi ya pili. Vilevile, mwongozo huu una mifano mwafaka ya .maazimio ya kazi, mpangilio wa funzo na ratiba ya vipindi itakayomwongoza mwalimu kuzingatia mbinu zinazofaa za kutekeleza malengo yote ya somo la Kusoma na Kuandika katika Kiswahili kwa gredi ya pili. Pia, mwongozo huu una majibu ya mazoezi na maswali ya marudio yote yaliyomo katika kitabu cha mwanafunzi.

Compare
Category:
Be the first to review “Longhorn Kusoma na Kuandika GD2 Mwalimu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?