Soma nasi Kusoma na Kuandika Kitabu cha Mwanafunzi … by Oxford

KShs458.00

In stock

by Oxford
Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiwiahili ni msururu wa vitabu vipya vitivyoandikwa kwa upekee iii kutosheleza mahitaji ya mtataa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza. kusoma no kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi utiopendekezwa, maaditi na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili, Kitabu cha Muranafunzl, Gredi 2, utapata:
• mada zitizopangwa kwa kuzingatia mtataa mpya
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
• mazoezi nje ya darosa iii kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughull za kijamii zinazokuza ujifunzaji
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na watezi iii kuimarisha uwajibikaji
• sehemu ya Tujifurahishe’inayolenga kuwasisimua wanafunzi wanopotumia lugha.

Compare
Category:
Be the first to review “Soma nasi Kusoma na Kuandika Kitabu cha Mwanafunzi … by Oxford”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?