Kiswahili Kitukuzwe Kidato Cha 3 Kitabu Cha Mwalimu by Watuha
KShs696.00
by Watuha
Hili ni toleo la nne la Kiswahili kwa Kidato cha Tatu, Mwongozo wa Walimu. Kitabu hiki ni cha tatu katika mfululizo wa vitabu vinne vya Kiswahili kwa shule za upili. Kitabu hiki kimefuata mfumo wa elimu wa 8-4-4 na kufanyiwa marudio kulingana na silabasi mpya ya Kiswahili kwa Kidato cha Tatu. Katika toleo hill, maelezo zaidi juu ya nyanja mbalimbali za lugha yameshughulikiwa kama vile, mpangilio mpya wa ngeli, kusoma kwa kina, na msamiati na istilahi kimuktadha. Pia, masuala ibuka kama vile maadili, UKIMWI na mazingira yamejitokeza. Mifano zaidi, michoro na picha zimetumiwa ili kufanya somo hili liwe la kuvutia. Ni kitabu ambacho walimu watafurahia kukitumia.
Reviews
There are no reviews yet.