Kamusi Changanuzi ya Methali by Gichohi Waihiga,francis …

KShs1,100.00

In stock

KAMUSI CHANGANUZI YA METHALI  ni kitabu chenye mkusanyiko mkubwa zaidi wa methali kikilinganiishwa na kamusi nyingine mbalimbali zilizowahi kuiayarishwa kufikia sasa. Lakini la muhimu zaidi. licha ya wingi wa methali, kitabu hiki kinayo haiba, mnato na muundo wa kipekee unaokifanya kuvutia jicho la kila msomaji. Isitoshe. methali zilizomo zimechanganuliwa kwa lugha rahisi inayoeleweka na wapenzi wa lugha hii wa viwango vyote.

Kwa jumla kinazo sifa zifuatazo.

  • Mkusanyiko wa zaidi ya methali elfu mbili na mia nne.
  • Methali halisi zisizo za kubambanya zilizopangiliwa kwa utaratibu wa kialfabeti kuanzia A hadi Z.
  • Maelezo kamili ya msamiati mgumu uliomo.
  • Maelezo kamili ya maana ya  kila methali
  • Maelekezo kamili ya matumizi ya kila methali.
  • Methali zenye maana sawa au  kinyume na  nyingine zimedhihirishwa na kuelekezwa kurasa zipatikanamo.
Compare
Category:
Be the first to review “Kamusi Changanuzi ya Methali by Gichohi Waihiga,francis …”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?