Dira ya kiswahili Marejeleo Kamili ya Kiswahili 5
Roll over image to zoom in
KShs630.00
by Wafula Wa Wafula, Vidijah Dalizu
DIRA YA kISWAHILI Kimeandikwa kumsaidia mwanafunzi na mwalimu. Kimezingatia stadi za lugha tano:
Kusikiliza na kuongea, Kusoma, Sarufi, Msamiati na Kuandika.
Katika kiwango hiki, ni muhimu mwanafunzi kujenga na kukuza stadi za lugha ili kujiamini na kukomaa katika Kiswahili.
muundo wa kitabu
1. Kuna sura 15: Kila sura ina sehemu ya Kusikiliza na kuongea, kusoma, Kuandika, Sarufi na Msamiati.
2. Baada ya kila sura kuna kibindo cha maswali. Sehemu hii imejumlisha maswali kutoka sehemu mbalimbali na yanakuza stadi za lugha.
3. Mwisho wa kila sura kuna Majaribio.
4. Kuna mihula mitatu.
5. Mwisho ni Malibu ya mazoezi na majaribio ya mitihani yote.
Reviews
There are no reviews yet.