Dira ya kiswahili Marejeleo Kamili ya Kiswahili 5

KShs630.00

In stock

by Wafula Wa Wafula, Vidijah Dalizu

DIRA YA kISWAHILI  Kimeandikwa kumsaidia mwanafunzi na mwalimu. Kimezingatia stadi za lugha tano:

Kusikiliza na kuongea, Kusoma, Sarufi, Msamiati na Kuandika.

Katika kiwango hiki, ni muhimu mwanafunzi kujenga na kukuza stadi za lugha ili kujiamini na kukomaa katika Kiswahili.

muundo wa kitabu

1. Kuna sura 15: Kila sura ina sehemu ya Kusikiliza na kuongea, kusoma, Kuandika, Sarufi na Msamiati.

2. Baada ya kila sura kuna kibindo cha maswali. Sehemu hii imejumlisha maswali kutoka sehemu mbalimbali na yanakuza stadi za lugha.

3. Mwisho wa kila sura kuna Majaribio.

4. Kuna mihula mitatu.

5. Mwisho ni Malibu ya mazoezi na majaribio ya mitihani yote.

Compare
Be the first to review “Dira ya kiswahili Marejeleo Kamili ya Kiswahili 5”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?