• Distinction Shughuli za Kiswahili Workbook Grade 3

    by DISTINCTION

    DISTINCTION KISWAHILI WORKBOOK GREDI YA 3 kimeandikwa kumsaidia mwanafunzi na mwalimu. Kimezingatia stadi za lugha nne: Kusikiliza na kuzungumza, Kusoma Kuandika na Sarufi. Katika kiwango hiki, ni muhimu mwanafunzi kujenga na kukuza stadi za lugha hizi ili kujiamini na kukomaa katika Kiswahili.

  • Distinction Social Studies Grade 6

    by DISTINCTION

    Distinction Social Studies Grade 6 Learner’s Book is a course book written in line with the Competence Based Curriculum. The concepts in the book are presented in logical sequence to equip the learner with the necessary knowledge, skills values and attitudes. It provides a link between the previously learnt concepts and also prepares the learner for subsequent levels of learning.

  • Donkey who Wanted to be a Lion by Rose

    by Rose
    Donkey had always admired Lion for his roar. In this story, Donkey walks all over animal land pretending that he is a Lion. Read this interesting story to find out what happens to Donkey in the end.

  • EAEP Akili pevu Kiswahili Angaza GD2 Trs (Appr) by Banda

    by Banda
    Kiswahili Angaza ni kazi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu: 1. Kusoma ni kutagusano; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi; 2. Wanafunzi wancionza kilo somo kwa kuelezea picha au hall amo matukio wanayoyafomu huku wakijadiliana; 3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambuo, kubainisha, kujenga na kuhakiki; 4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno no isiyokuwa no maneno mogumumagumu no misomiati ya kubaboisha; 5. Mwanafunzi no mwanafunzi mwenzoke, pamoja na mwolimu, mzazi na hata jornii nzimo wanashirikishwa ndani ya kitobu hiki.

  • EAEP Akili pevu Kiswahili Angaza GD3 (Approved) by Banda

    by Banda
    Kiswahili Angaza ni kazi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu.

    Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu:

    1. Kusoma ni kutagusano; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi;

    2. Wanafunzi wancionza kilo somo kwa kuelezea picha au hall amo matukio wanayoyafomu huku wakijadiliana;

    3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambuo, kubainisha, kujenga na kuhakiki;

    4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno no isiyokuwa no maneno mogumumagumu no misomiati ya kubaboisha;

    5. Mwanafunzi no mwanafunzi mwenzoke, pamoja na mwolimu, mzazi na hata jornii nzimo wanashirikishwa ndani ya kitobu hiki.

  • EAEP Akili Pevu Kiswahili Angaza GD4 (Approved)

    by BANDA

    Akili Pevu Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 4 ni kozi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Kozi hii imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya Mtaala wa Kiumilisi, yaani, Competency-Based Curriculum. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi. Mtindo huu unamsaidia mwalimu kumwelekeza mwanafunzi barabara. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu katika ujifunzaji wa lugha:
    • Wanafunzi wanasoma kwa kutagusana; wanafanya shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wakiwa wawiliwawili au katika makundi. • Wanafunzi wanapewa fursa ya kujieleza; wanaanza kila somo kwa kuelezea picha, hali au matukio wanayoyafahamu hukwakijadiliana.
    • Wanafunzi wanashiriki katika stadi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambua, kubainisha, kulinganisha, kutunga na kuhakiki.
    • Lugha iliyotumika ni nyepesi na haina misamiati ya kubabaisha.
    • Ujifunzaji unajumuisha jamii nzima; mwanafunzi na mwanafunzi mwenzake, mwanafunzi pamoja na mwalimu, mzazi na jamii nzima wanashirikishwa katika shughuli za ujifunzaji. Ili kuhakikisha kwamba mwanafunzi anashiriki katika utendaji wakati wa somo, shughuli mbalimbali zinazopalilia na kushadidia umilisi wake zimezingatiwa. Shughuli hizi ni kama zifuatazo: shughuli za darasa; shughuli za makundi; shughuli za wawiliwawili; shughuli za kibinafsi; shughuli za nje ya darasa; shughuli za ziada; shughuli za utafiti; shughuli za kidijitali na shughuli za nyumbani. Kitabu hiki kina Mwongozo wa Mwalimu unaoambatana nacho kwa ukamilifu. Kwa mujibu wa uzoefu wao mwingi, waandishi wa kitabu hiki wamekitunga kwa utaalamu mkuu.

  • EAEP Akili Pevu Kiswahili Angaza Grade 5 (Approved)

    by S.Otieno, M.Banda

    Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 5 ni kitabu kilichosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Kitabu hiki kimetosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Kinakuza umilisi uliopendekezwa kwenye mtalaa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia kwa stadi za kusikiliza na kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi.

    Kitabu hiki kimezingatia:
    • Lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
    • Mada zilizopangwa kwa kuzingatia mtalaa. Kila mada inaanza kwa picha ambazo zimechorwa vizuri na kikamilifu. Picha hizi zitasisimua hali ya mwanafunzi ya kujifunza.
    • Shughuli mbalimbali ambazo zinawashirikisha wanafunzi wakiwa peke yao, wawiliwawili au katika vikundi. Shughuli hizi zinakuza stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambua, kubainisha na kuhakiki.
    • Ushirikisho wa wazazi na walezi ambao unaimarisha uwajibikaji wa wanafunzi.
    Waandishi wa kitabu hiki wana uzoefu mwingi na wamekiandika kitabu hiki kwa utaalamu mkuu.

  • EAEP Akili pevu Kiswahili Angaza Gredi 1 (Approved)

    by Otieno, Banda

    Kiswahili Angaza ni kazi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu:
    1. Kusoma ni kutagusano; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi;
    2. Wanafunzi wancionza kilo somo kwa kuelezea picha au hall amo matukio wanayoyafomu huku wakijadiliana;
    3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambuo, kubainisha, kujenga na kuhakiki;
    4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno no isiyokuwa no maneno mogumumagumu no misomiati ya kubaboisha;
    5. Mwanafunzi no mwanafunzi mwenzoke, pamoja na mwolimu, mzazi na hata jornii nzimo wanashirikishwa ndani ya kitobu hiki.

  • EAEP Akili Pevu Kiswahili Mwongozo Grade 5

    by M.Banda and S. Otieno

    Kiswahili Angaza, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 5 ni kitabu kilichosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Kimetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya Mtalaa wa Kiumilisi. Mwongozo huu unafafanua yaliyomo katika Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 5. Mwongozo huu unatoa mwelekeo ufaao kwa mwalimu na kumwongoza hatua kwa hatua katika ufundishaji. Mwongozo huu unajumuisha:
    • Utangulizi unaofafanua kwa kina vipengele muhimu vya mtalaa wa umilisi.
    • Kielelezo cha maazimio ya kazi pamoja na andalio la somo kwa kutumia mtindo uliopendekezwa na KICD.
    • Mapendekezo ya jinsi ya kushughulikia wanafunzi wenye mahitaji ya kipekeedarasani.
    • Utangulizi kwa kila mada. Kabla ya vipindi vyenyewe, mwalimu anaonyeshwa matokeo tarajiwa maalum ya kila mada; umilisi wa kimsingi unaokuzwa; uhusiano wa mada na masuala mtambuko, maadili na masomo mengine; mapendekezo ya shughuli za huduma za kijamii zinazochangia ujifunzaji; nyenzo za kufundishia na mbinu za kutathmini wanafunzi.
    • Mwongozo wa kutekeleza kila shughuli iliyo kwenye kitabu cha Mwanafunzi hatua kwa hatua.
    • Majibu kamili ya mazoezi pamoja na maelekezo kwa mwalimu kuhusiana na shughuli teule
    • Viwango vya mwalimu kuzingatia anapowatathmini wanafunzi wake. Mwongozo huu umeandikwa kwa utaalamu na waandish wenye uzoefu mwingi

  • EAEP Fun with CRE Activities PP1 (Appr) by EAEP

    by EAEP
    EAEP is pleased to introduce the exciting and enjoyable Fun with series.
    Fun with Christian Religious Education Activities Pre-Primary 1, Pupils Book, is presented in a simple way that is easy to understand and in language that learners at this level will identify with.
    The authors of this book ensured the curriculum design is fully covered as they simplified different concepts to suit the learners level.
    The book offers among other features:
    This book will introduce learners to the joy of learning as they begin their journey in education.

Main Menu