EAEP Akili pevu Kiswahili Angaza GD3 (Approved) by Banda

KShs500.00

In stock

by Banda
Kiswahili Angaza ni kazi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu.

Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu:

1. Kusoma ni kutagusano; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi;

2. Wanafunzi wancionza kilo somo kwa kuelezea picha au hall amo matukio wanayoyafomu huku wakijadiliana;

3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambuo, kubainisha, kujenga na kuhakiki;

4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno no isiyokuwa no maneno mogumumagumu no misomiati ya kubaboisha;

5. Mwanafunzi no mwanafunzi mwenzoke, pamoja na mwolimu, mzazi na hata jornii nzimo wanashirikishwa ndani ya kitobu hiki.

Compare
Category:
Be the first to review “EAEP Akili pevu Kiswahili Angaza GD3 (Approved) by Banda”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?