-
OUP Growing in Christ CRE Grade 5 Learner’s (Approved)
by Hezron Onyango
Growing in Christ Christian Religious Education Learner’s Book, Grade 5
The Growing in Christ series is specially written to provide practical experiences that will build the learners’ knowledge and understanding of the Christian faith, as well as equip them with values, skills, and attitudes that will assist them to live well with self and others. Books in the series have a wide range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at the acquisition and appreciation of the core competencies, values, and pertinent and contemporary issues.
Growing in Christ CRE Learner’s Book Grade 5 provides:
• Content that is structured according to the curriculum design.
• Activities that present real-life situations where learners can solve problems through creativity and critical thinking.
• Bible reading sections that present activities on selected Bible verses.
• School activities that enhance learning outside of the classroom, but within the school community.
• Home and community activities that enhance learning at home and in the community.
• Fun spots that make learning fun and exciting through songs, poems, and much more.A Teacher’s Guide is available for each Learner’s Book in the series.
-
OUP Growing in Christ CRE Grade 5 Trs (Approved)
by H. Onyango, J. Watiki, D. Rutere and G. Atogoh
Growing in Christ Christian Religious Education Teacher’s Guide, Grade 5
The Growing in Christ series is specially written to provide practical experiences that will build the learners’ knowledge and understanding of the Christian faith, as well as equip them with values, skills, and attitudes that will assist them to live well with self and others. Books in the series have a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at acquisition and appreciation of the core competencies, values, and pertinent and contemporary issues.
The Teacher’s Guide, Grade 5 has a wealth of practical activities for developing competencies and values in learners. It supports teachers by offering the following:
• A detailed introduction to the Competency-Based Curriculum
• Comprehensive teaching guidelines for the lessons.
• A sample scheme of work and a lesson plan to assist the teacher to plan the lessons.
• Helpful hints on class management, group work, and differentiated learning.
• Detailed assessment assistance. -
OUP Growing in Christ CRE Workbook Grade 6
by Oxford
Growing in Christ CRE Workbook is a unique, fun-filled series that comprehensively covers the Competency-based Curriculum. Each book in the series is well researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skills, values and attitudes.
This workbook offers:
-stimulating activities that are arranged from simple to challenging.
-activities that require interaction with parents, guardians and other community members.
-summary notes that help refresh the learner’s knowledge about the sub-strand.
-a self-check section that enables the learner to measure his or her progress in understanding the concepts in each sub-strand.
-model summative questions that help the learner prepare weil for the Kenya Primary School Education Assessment (KPSEA)
-
OUP Kiswahili Dadisi GD3 Trs (Approved) by Nyaga
by Nyaga
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu katika msururu huu vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika kama ilivyopendekezwa katika mtalaa mpya.
Vitabu katika msururu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha muwanafunzi na kumpa hamu ya kutaka kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masualaibuka. Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Mwongozo wa Muwalimu, Gredi ya 3 kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mualimu ving shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtalaa huu mpya wa Umilisi.
-
OUP Kiswahili Dadisi Grade 1 Workbook
by OUP Kenya
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi, Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa njia ya kufurahisha na kuelimisha. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umitisi wa msingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani.
ISBN: 9780195747362
-
OUP Kiswahili Dadisi Grade 3 Workbook
Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vyo mazoezi katika mtalaa mpya wa umilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.
-
OUP Kiswahili Dadisi Grade 5 Kitabu cha mwanafunzi (Approved)
by Oxford
Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 5, utapata:
• mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya.
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
• mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za
kijamii zinazokuza ujifunzaji.
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
• vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya ‘Burudika’.
Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu wa umilisi. -
OUP Kiswahili Dadisi Grade 5 Mwalimu (Approved)
by J. Ndege, E. Osoro and Z. Mucheria
Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 5
Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi kama ilivyopendekezwa katika mtalaa.
Vitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Huu Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 5, una mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu, utapata:
• utangulizi wa kina kuhusu mtalaa wa umilisi
• muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura
• matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo mapendekezo ya majibu ya takribani maswali yote katika kitabu cha Mwanafunzi
• mapendekezo ya shughuli za kutekelezwa na wanafunzi ili waendelee kujifunza wakiwa nje ya darasa
• maswali ya ziada ili kukuwezesha kutathmini zaidi uelewa wa wanafunzi wako
• maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu wanahitaji ili kufaulu katika mtalaa huu wa umilisi.
-
OUP Kiswahili Dadisi Mazoezi Gradi 1 (Toleo Jipya)
by OXFORD
Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa utaalamu na upekee ili kufanikisha ufundishaji na ujifunzaji wa mahitaji ya Mtaala wa Umilisi. Vitabu hivi vitawawezesha wanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevile Sarufi, kupitia mazoezi murua ambayo pia yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na
kufahamisha kuhusu masuala mtambuko.Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya1 utapata:
-mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtaala.
-mifano halisi ya matumizi ya lugha kimuktadha.
-mazoezi ya kuchangamsha na kufikirisha ambayo yanawashirikisha wanafunzi moja kwa moja.
-vifungu vya kuburudisha na vinavyoendeleza ujifunzaji.
-nyimbo za kusisimua ambazo zitawachangamsha na kuwaburudisha wanafunzi.
-picha za rangi, zenye mvuto wa kipekee na ambazo zinachangia pakubwa katika ujifunzaji wa mwanafunzi.
-mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa.
-mazoezi ambayo yatawashirikisha mwanafunzi kutumia vifaa vya kidijitali katika ujifunzaji.
-jinsi ya kumshirikisha mzazi au mlezi kuimarisha ujifunzaji.
ISBN: 9789914441383
-
OUP Kiswahili dadisi Mazoezi ya Lugha gredi 3 … by Waititu/Matei/Mbugua
by Waititu/Matei/Mbugua
Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza. kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha. vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi iliopendekezwa. maadili no kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha. Kitabu cha Mwanafunzl. Gredi 3. utapata:
• mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtataa mpya
• mifano halisi ya miktadha ambapo hutumika
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi iii kuimarisha uwajibikaji.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books











