- 
	Mentor Kielekezi cha Shughuli GD2 (Approved) by Vaati,Esiby Vaati, Esi 
 KIELEKEZI cha Shughuli za Kiswahili Gredi 2 kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya mtaala mpyaunaozingatia umilisi.
 Kitabu hiki kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi.
 Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
 Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha:
 (i) Kusikiliza na Kuzungumza ”
 (ii) Kusoma
 (iii) Kuandika
 (iv) Msamiati
 (v) Sarufi
- 
	Mentor English Literacy Activities GD2 by Gathogoby Gathogo 
 Mentor English Literacy Activities Grade 2 workbook is fully in line with the New Competence Based Curriculum. The book is easy to use and contains a variety of learning activities.
 It makes learning fun for the learner.
 This book has been authored by teachers with wide experience in Early Years Education in Leading schools across Kenya.
- 
	Longhorn English Activities GD2 (Approved) by Okeyo,Wangusiby Okeyo, Wangusi 
 Longhorn English Activities is a series that comprehensively and exhaustively covers the new competence-based English curriculum for primary schools.
 The competence-based series is appropriate as it:
- 
	JKF Nyota ya Kiswahili GD2 Trs (Approved) by Salimby Salim 
 Huu ni mwongozo unaompa mwalimu mbinu za kumwezesha kuchochea ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi kuambatana na mtalaa mpya. Mtalaa huo unampa mwanafunzi uwezo wa kujifunza mwenyewe huku mwalimu akiwa msaidizi woke.
 Kitabu hiki kinampa mwalimu mapendekezo ya hatua anazoweza kufuata ili kumwongoza mwanafunzi aweze kujifunza kila mada ndogo kuambatana na maarubu ya mtalaa wa kiwango husika.
 Ili kumwezesha mwalimu ayatimize malengo yake, mwongozo huu umemwandalia ratiba ya mafunzo ya mwaka mzima kwa mtiririko ufuatao:
 ° Matokeo maalumu yanayotarajiwa mwanafunzij kuweza kuyafanya kufikia mwisho wa mada husika
 ° Umilisi wa kimsingi
 ° Maadili ya kimsingi
 ° Masuala mtambuko
 ° Uhusiano na masomo mengine
 ° Uhusiano na shughuli za huduma za kijamii zinazochangia ujifunzaji
 ° Uhusiano na shughuli nyingine zilizoratibiwa za ujifunzaji
 ° Nyenzo
 ° Tathmini
 Kitabu hiki pia kinatoa mazoezi ya ziada ambayo wanafunzi watapewa na mwalimu ili wajifunze zaidi.
 Waandishi walioandika mwongozo huu ni wenye tajiriba kubwa. Wamehusika na uandishi wa vitabu vya kiada kwa muda mrefu. Vitabu vyao vinaendelea kutumika hadi leo.
- 
	Moran Living Health Hygiene GD2 Trs (Approved)Living Health Hygiene and Nutrition Activities is a lower primary school course developed in line with the requirements of the competency-based curriculum. The book employs an inquiry-based approach to learning which equips learners with skills, knowledge, values and the quest to explore and discover by themselves. 
 The course:
- 
	OUP Kiswahili dadisi Mazoezi ya Lugha gredi 3 … by Waititu/Matei/Mbuguaby Waititu/Matei/Mbugua 
 Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza. kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha. vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi iliopendekezwa. maadili no kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
 Katika Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha. Kitabu cha Mwanafunzl. Gredi 3. utapata:
 • mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtataa mpya
 • mifano halisi ya miktadha ambapo hutumika
 • mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
 • jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi iii kuimarisha uwajibikaji.
- 
	EAEP Akili pevu Kiswahili Angaza GD3 (Approved) by Bandaby Banda 
 Kiswahili Angaza ni kazi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu.Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu: 1. Kusoma ni kutagusano; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi; 2. Wanafunzi wancionza kilo somo kwa kuelezea picha au hall amo matukio wanayoyafomu huku wakijadiliana; 3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambuo, kubainisha, kujenga na kuhakiki; 4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno no isiyokuwa no maneno mogumumagumu no misomiati ya kubaboisha; 5. Mwanafunzi no mwanafunzi mwenzoke, pamoja na mwolimu, mzazi na hata jornii nzimo wanashirikishwa ndani ya kitobu hiki. 
- 
	EAEP Great Minds English Language GD3 (Apprv) by Mainaby Maina 
 Great Minds English Language GD3, Pupils Book, is a comprehensive course based on the new Competency-Based Curriculum, 2018 for primary schools. This course has been developed to enable learners to apply listening, speaking, reading, and writing skills in their daily use of language. This Grade 3 book is presented in a simple manner. Learners at this level will enjoy using it. here, the teacher becomes a facilitator of learning and not simply a source of knowledge.
 The key features of this book include:- A simple approach to language and presentation that is easy to follow.
- Relevant, well-drawn full-color illustrations.
- A variety of competency-based learner-centered activities help the learners to develop a wide range of skills.
- Suggestions for parents and teachers to be involved in the continuous learning process.
- Songs and poems help the learners to understand the content within this book.
- Indoor and outdoor activities that learners do in pairs and in groups as they help each other to learn.
 
- 
	KLB Visionary Physical and Health Education Grade 6 (Approved)KLB Visionary Grade 6 Physical and Health Education Learner’s Book is aimed at equipping the learner with knowledge, skills, competences and desired attitudes that enhance moral values in games and sports to create a lifelong healthy living. 
- 
	Moran Beginning Music Grade 6 (Approved)Spotlight Music Learners Book Grade 6 has been uniquely designed to greatly benefit Grade 6 learners in handling the Grade 6 Music Curriculum. It comprehensively covers Grade 6 Music Curriculum Design as per the Competency-Based Curriculum. It is presented in a clear, simple and precise language that makes learning Interesting. 
- 
	EAEP Akili Pevu Kiswahili Angaza Grade 5 (Approved)by S.Otieno, M.Banda Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 5 ni kitabu kilichosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Kitabu hiki kimetosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Kinakuza umilisi uliopendekezwa kwenye mtalaa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia kwa stadi za kusikiliza na kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi. Kitabu hiki kimezingatia: 
 • Lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
 • Mada zilizopangwa kwa kuzingatia mtalaa. Kila mada inaanza kwa picha ambazo zimechorwa vizuri na kikamilifu. Picha hizi zitasisimua hali ya mwanafunzi ya kujifunza.
 • Shughuli mbalimbali ambazo zinawashirikisha wanafunzi wakiwa peke yao, wawiliwawili au katika vikundi. Shughuli hizi zinakuza stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambua, kubainisha na kuhakiki.
 • Ushirikisho wa wazazi na walezi ambao unaimarisha uwajibikaji wa wanafunzi.
 Waandishi wa kitabu hiki wana uzoefu mwingi na wamekiandika kitabu hiki kwa utaalamu mkuu.
- 
	EAEP Kiswahili Angaza Kitabu cha Mazoezi Grade 5by M. Banda na S. Otieno Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mazoezi, Gredi ya 5 ni kitabu kilichoandikwa kwa ubunifu ili kuimarisha maarifa ya mwanafunzi kupitia mazoezi. Mazoezi kwenye kitabu hiki yamewasilisha kikamilifu mahitaji ya Mtalaa wa Umilisi. Mazoezi haya yatamwezesha mwanafunzi kukuza stadi zinazohitajika, maadili na kukabiliana na masuala mtambuko. 
 Kitabu hiki kimezingatia mambo sita muhimu katika ujifunzaji wa lugha:
 • Mazoezi mbalimbali yanayopalilia na kushadidia umilisi wa mwanafunzi
 • Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha ambazo ni: Kusikiliza, kuzungumza, Kusoma na kuandika.
 • Picha ya muhtasari inayoeleza yale yatakayoshughulikiwa kwa kila stadi ya ujifunzaji.
 • “Sasa ninajua’ na Jitathmini’ ambavyo ni vidokezo vya kujifunzia na kuimarisha umilisi baada ya mazoezi.
 • Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
 • Picha zilizotumika zimechorwa vizuri na kikamilifu. Kila mada imeanza kwa picha ambayo inasisimua hamu ya mwanafunzi ya kujifunza.Waandishi wa kitabu hiki ni wale wale waandishi wa vitabu maarufu uvipendavyo vya Kiswahili Angaza Gredi ya 1, 2, 3, 4 na 5, na wana uzoefu mkubwa na wamekiandika kitabu hiki kwa utaalamu mkuu. 
 Shop By Categories
            - International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
 
			        










