• Kielekezi cha Kiswahili Pupils Grade 5

    by E.ANDATI, S.WASHIKA

    KIELEKEZI CHA MARUDIO YA KISWAHILI GREDI YA 5 KIELEKEZI cha marudio ya Kiswahili Gredi ya 5 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa mfumo mpya wa elimu ya umilisi. Kitabu hiki:
    – Kimeandikwa kumwezesha mwanafunzi kukuza na kujenga ujuzi na uwezo wa kutumia stadi za lugha (Kusikiliza na kuzungumza, Kusoma, kuandika na Sarufi).
    – Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kutoa mifano mwafaka.
    – kimeshughulikia Masuala mtambuko kama vile: uraia, utangamano, elimu ya amani, stadi za maisha, mazingira na teknolojia. – Kina Mazoezi muhimu ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio.
    – Kina Zoezi la Tathmini mwishoni mwa kila sura.
    – Kina karatasi sita za Majaribio ya mitihani.
    – Kimeandikwa na waandishi wenye tajriba kubwa katika ufundishaji wa somo la Kiswahili katika shule bora nchini Kenya. Aidha, wanaelewa mfumo wa umilisi kwa jumla.

  • Kielekezi cha Marudio ya Kiswahili 3

    by A.litinyu, C.Kiini, M.Kemunto, N.Musyimi.

    KIELEKEZI cha Marudio ya Kiswahili 3 kimeandikwa Hi kuwasaidia wanafunzi wa shule za msingi nchini Kenya kufanya marudio ya silabasi ya Kiswahili ya darasa la tatu.KIELEKEZI cha Marudio ya Kiswahili 3:Kimezingatia kikamilifu silabasi ya Kiswahili ya darasa la tatu kama ilivyoandikwa na Taasisi ya Ukuzaji Mitalaa ya Kenya.Kimewasilisha yaliyomo katika lugha nyepesi ambayo mwanafunzi anaweza kuelewa kwa urahisi. Kimetumia michoro mbalimbali ya kuvutia na inayofafanua yaliyomo.Kina zoezi moja au zaidi mwishoni mwa kila mada ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio ya mada hiyo.Kina zoezi moja la jumla mwishoni mwa kila sura ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio ya sura yote.Kina karatasi nne za marudio kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio ya silabasi yote ya darasa la tatu na kujiandaa vilivyo kwa mtihani wake.Kimepangwa kwa utaratibu na ubunifu mkubwa ili kunasa akili za mwanafunzi.Kina majibu katika kijitabu tofauti ambacho kinajumuisha majibu ya maswali yote ya Somo la Kiingereza, Somo la Kiswahili, Somo la Hisabati, Somo la Sayansi, Somo la Jamii na Somo la Dini. Lengo la hatua hii ni kumsaidia mwanafunzi kufanya kazi yake bila ya au kabla ya kutazama majibu na wala sio kunakili majibu tu.

  • Kielekezi cha Shughuli za Kisw Mwalimu GD4 (Appr)

    by OBUKI

    KIMEIDHINISHWA NA KICD
    Mwongozo huu wa mwalimu umetengenezwa kwa lengo la kumwelekeza mwalimu anapotekeleza na kuafikia malengo
    ‘maalum ya Mtaala Mpya unaozingatia umilisi na kukuza maadili bora. Mwongozo huu utamsaidia mwalimu katika kukuza stadi
    zote za lugha ambazo ni; Kusikiliza na kuzungumza, Sarufi, Kusoma na kuandika. Mwongozo huu umerejelea kikamilifu Kitabu
    cha mwanafunzi hivyo basi, kuufanya rahisi kwa mwalimu kuutumia. Mwalimu anashauriwa kujiandaa mapema na ipasavyo ili
    kutekeleza shughuli za ujifunzaji.

  • Kielekezi cha Shughuli za Kiswahili Gredi 3 Kitabu by Mentor

    by Mentor
    KIELEKEZI cha Shughuli za Kiswahili Gredi 3 kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya mtaata mpya unaozingatia umilisi.
    Kitabu hiki kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi.
    Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueteweka na mwanafunzi kwa urahisi.

  • Kiswahili Angaza Mwanafunzi Grade 6 (Approved)

    Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 6 ni kitabu kilichotungwa na kusukwa kwa makini na kwa kina kirefu. Kitabu hiki kimetosheleza mahitaji yote ya mtaala waumilisi. Kinakuza umilisi uliopendekezwa kwenye mtaala, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia kwa stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma,Kuandika na Sarufi.

  • Kiswahili Dadisi Kitabu Cha Mwanafunzi

    Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza.
    Pia vinakuzo umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

  • Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi … by Oxford

    Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunzo. Pia vinakura umili uliopendekezwa, maadili kufahamisha kuhusu masualaibuka.

    Katika Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha, kitabu cha Mwanafunzi. Gredi 2. utapata :

    -mada zilizopangwa Kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya
    -mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
    -mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
    -Jinsi ya kuwashirikisho wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji

    Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji

  • Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1

    by Oxford

    Kiswahili Dodisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipyo vilivyoandikwa kwo upekee iti kutosheleza mahitaji ya mtaloo mpyo wa Umilisi. Vitabu Finn vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahomu we Lugha kupitio stadi za kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vino mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuzo umitisi uliopendekezwa. maadili no kufahamisha kuhusu masualaibuka.

    Katika Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha. Kitabu cha Mwanafunzi. Gredi utapata:

    • made zilizopangwo kwa kuzingatio muainisho wa mtalaa mpya
    • mifano halisi ya miktodho ambapo Lugha hutumika
    • mazoezi nje ya darasa iii kuendeteza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli zo kijamii zinazokuza ujifunzaji
    • mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
    • jinsi ya kuwashirikisha wazazi no walezi iii kuimarisha uwajibikaji.
  • kiswahili sahili gd4 approved

    Kiswahili Sahili, Gredi ya 4, ni kitabu kinachompa mwanafunzi fursa nzuri kutangamana na Mtaala wa Kiumilisi kupitia
    mada na shughuli alizoandaliwa. Lengo hasa la mtaala huu mpya ni kumwezesha mwanafunzi kupata maarifa pamoja na kumjengea
    umilisi mzuri wa masuala na maaarifa mbalimbali ili aweze kuyatumia katika maisha yake ya kila siku.
    Kitabu hiki kinampa mwanafunzi nafasi ya kujenga umilisi wake katika lugha ya Kiswahili kupitia stadi zilizoshughulikiwa
    humu.Kitabu hiki kinashughulikia kusikiliza na kuzungumza kwa namna inayomwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 4 kujenga
    matamshi, kutumia lugha vizuri kulingana na muktadha. Sehemu ya kusoma inampa mwanafunzi mbinu za kusoma kwa ufahamu,
    kusoma kwa kina na kusoma kwa mapana na hivyo kumwezesha kujenga ufasaha wake, wa lugha. Kitabu hiki kinaangazia
    stadi ya kuandika ambapo mwanafunzi anaongozwa hatua kwa hatua jinsi ya kuandika tungo za namna mbalimbali.
    Sehemu ya sarufi inampa mwanafunzi fursa ya kujenga umahiri wake wa kutumia lugha kwa ufasaha.

Main Menu