-
Kielekezi cha Shughuli za Kisw Mwalimu GD4 (Appr)
by OBUKI
KIMEIDHINISHWA NA KICD
Mwongozo huu wa mwalimu umetengenezwa kwa lengo la kumwelekeza mwalimu anapotekeleza na kuafikia malengo
‘maalum ya Mtaala Mpya unaozingatia umilisi na kukuza maadili bora. Mwongozo huu utamsaidia mwalimu katika kukuza stadi
zote za lugha ambazo ni; Kusikiliza na kuzungumza, Sarufi, Kusoma na kuandika. Mwongozo huu umerejelea kikamilifu Kitabu
cha mwanafunzi hivyo basi, kuufanya rahisi kwa mwalimu kuutumia. Mwalimu anashauriwa kujiandaa mapema na ipasavyo ili
kutekeleza shughuli za ujifunzaji. -
Pearson Explore Science and Technology Grade 4 (Approved)
by LANGAT
Explore Science and Technology Grade 4 is part of a new course especially developed to meet the needs of the Basic Education Curriculum Framework.
The Learner’s Book offers:
* Full compliance with the new competency-based curriculum
* varied learning activities aimed at developing the core competencies and specific learning outcomes identified for Upper Primary
* colourful illustrations and photographs that capture the attention of the learner and help the learner engage with the content
* content presented in clear and simple English, at the level of the learner.
-
Longhorn Marudio ya Kiswahili Grade 4
by LONGHORN
Longhorn Marudio ya Kiswahili – Gredi ya 4 ni kitabu chenye mazoezi ainati ya marudio yaliyokusudiwa kumsaidia mwanafunzi wa Gredi ya 4 kudurusu kwa urahisi. Kimezingatia kikamilifu maelekezo ya mtaala wa umilisi katika uandishi wake.Vilevile, kimejikita katika vipengele vinne vikuu vya ufunzaji wa lugha ya Kiswahili. Kuna:
-Majaribio ya kufungua, kati na mwisho wa mihula yenye muundo mpya wa mtihani wa kitaifa kwa kuzingatia mtaala wa umilisi,
-Mazoezi yanayohusu kusikiliza na kuzungumza, kusoma, sarufi na kuandika,
-Michoro inayovutia na vielelezo vya kuwasaidia wanafunzi kuelewa dhana mbalimbali kwa urahisi,
-Maelezo mafupi ya dhana mbalimbali muhimu.
Waandishi wa kitabu hiki wana tajriba pana ya ufundishaji na utahini wa somo la Kiswahili. Kwa mwalimu, mzazi au mlezi, kitabu hiki chenye mazoezi ya marudio na majaribio ya mitihani ni nyenzo muhimu ya kumboresha na kumwandaa mwanafunzi kwa mitihani ya somo la Kiswahili.
-
TORCH ENCYCLOPEDIA GRADE 4
by SPOTLIGHT
Key Features ;
* All content presented in Terms I, II & III per learning area.
* Numerous carefully researched Competency-Based Activities.
* End of Term Assessment papers provided per learning area.
* Adequate End of Year assessment papers per learning area for comprehensive evaluation.
* Answers to all activities can be downloaded from: www.spotlightpublishers.co.ke/downloads.
-
Echoes of a whisper
by MASINDE KUSIMBA
Despite the good advice given. Oscar prefers his own counsel. He falls for Terry’s doctrine and the life she introduces him to, Oscar is blinded by money and the lifestyle that Terry offers However, he has to work for the lady to deserve that life. What work will he do? How does this affect Oscar?
-
Kalulu na Mti Mkavu 4e
by TANGUKO
Kalulu anampeleka ng’ombe wake sokoni kumuuza. Njiani, anapata mnunuzi wa ajabu ambaye ni mti wa mbuyu uliokauka.
Itakuwaje mti uuziwe ng’ombe?
Kalulu na Mti Mkavu ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la nne katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.
Mradi wa kusoma ni vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books