-
EAEP Akili Pevu Kiswahili Angaza GD4 (Approved)
by BANDA
Akili Pevu Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 4 ni kozi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Kozi hii imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya Mtaala wa Kiumilisi, yaani, Competency-Based Curriculum. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi. Mtindo huu unamsaidia mwalimu kumwelekeza mwanafunzi barabara. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu katika ujifunzaji wa lugha:
• Wanafunzi wanasoma kwa kutagusana; wanafanya shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wakiwa wawiliwawili au katika makundi. • Wanafunzi wanapewa fursa ya kujieleza; wanaanza kila somo kwa kuelezea picha, hali au matukio wanayoyafahamu hukwakijadiliana.
• Wanafunzi wanashiriki katika stadi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambua, kubainisha, kulinganisha, kutunga na kuhakiki.
• Lugha iliyotumika ni nyepesi na haina misamiati ya kubabaisha.
• Ujifunzaji unajumuisha jamii nzima; mwanafunzi na mwanafunzi mwenzake, mwanafunzi pamoja na mwalimu, mzazi na jamii nzima wanashirikishwa katika shughuli za ujifunzaji. Ili kuhakikisha kwamba mwanafunzi anashiriki katika utendaji wakati wa somo, shughuli mbalimbali zinazopalilia na kushadidia umilisi wake zimezingatiwa. Shughuli hizi ni kama zifuatazo: shughuli za darasa; shughuli za makundi; shughuli za wawiliwawili; shughuli za kibinafsi; shughuli za nje ya darasa; shughuli za ziada; shughuli za utafiti; shughuli za kidijitali na shughuli za nyumbani. Kitabu hiki kina Mwongozo wa Mwalimu unaoambatana nacho kwa ukamilifu. Kwa mujibu wa uzoefu wao mwingi, waandishi wa kitabu hiki wamekitunga kwa utaalamu mkuu. -
EAEP Akili Pevu Kiswahili Angaza Grade 5 (Approved)
by S.Otieno, M.Banda
Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 5 ni kitabu kilichosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Kitabu hiki kimetosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Kinakuza umilisi uliopendekezwa kwenye mtalaa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia kwa stadi za kusikiliza na kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi.
Kitabu hiki kimezingatia:
• Lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
• Mada zilizopangwa kwa kuzingatia mtalaa. Kila mada inaanza kwa picha ambazo zimechorwa vizuri na kikamilifu. Picha hizi zitasisimua hali ya mwanafunzi ya kujifunza.
• Shughuli mbalimbali ambazo zinawashirikisha wanafunzi wakiwa peke yao, wawiliwawili au katika vikundi. Shughuli hizi zinakuza stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambua, kubainisha na kuhakiki.
• Ushirikisho wa wazazi na walezi ambao unaimarisha uwajibikaji wa wanafunzi.
Waandishi wa kitabu hiki wana uzoefu mwingi na wamekiandika kitabu hiki kwa utaalamu mkuu. -
EAEP Akili pevu Kiswahili Angaza Gredi 1 (Approved)
by Otieno, Banda
Kiswahili Angaza ni kazi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu:
1. Kusoma ni kutagusano; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi;
2. Wanafunzi wancionza kilo somo kwa kuelezea picha au hall amo matukio wanayoyafomu huku wakijadiliana;
3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambuo, kubainisha, kujenga na kuhakiki;
4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno no isiyokuwa no maneno mogumumagumu no misomiati ya kubaboisha;
5. Mwanafunzi no mwanafunzi mwenzoke, pamoja na mwolimu, mzazi na hata jornii nzimo wanashirikishwa ndani ya kitobu hiki. -
EAEP Akili Pevu Kiswahili Grade 7 (Approved)
Akili Pevu Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 7 ni kitabu kilichoandikwa kwa upeo wa ubunifu na kuwambwa kwa makini. Kimetimiza kwa ukomo wa ukamilifu na kutosheleza mahitaji yote ya Mtaala wa Umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanofunzi zaidi na kinakuza umilisi unaotolewa na mtaala.Kwa upeo wa utunzi wake, kitabu hiki kinampa mwanafunzi nafasi zaidi na kumfanya mwalimu kuwa mwelekezi tu bali si mtoaji wa elimu.
-
EAEP Akili Pevu Kiswahili Mwongozo Grade 5
by M.Banda and S. Otieno
Kiswahili Angaza, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 5 ni kitabu kilichosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Kimetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya Mtalaa wa Kiumilisi. Mwongozo huu unafafanua yaliyomo katika Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 5. Mwongozo huu unatoa mwelekeo ufaao kwa mwalimu na kumwongoza hatua kwa hatua katika ufundishaji. Mwongozo huu unajumuisha:
• Utangulizi unaofafanua kwa kina vipengele muhimu vya mtalaa wa umilisi.
• Kielelezo cha maazimio ya kazi pamoja na andalio la somo kwa kutumia mtindo uliopendekezwa na KICD.
• Mapendekezo ya jinsi ya kushughulikia wanafunzi wenye mahitaji ya kipekeedarasani.
• Utangulizi kwa kila mada. Kabla ya vipindi vyenyewe, mwalimu anaonyeshwa matokeo tarajiwa maalum ya kila mada; umilisi wa kimsingi unaokuzwa; uhusiano wa mada na masuala mtambuko, maadili na masomo mengine; mapendekezo ya shughuli za huduma za kijamii zinazochangia ujifunzaji; nyenzo za kufundishia na mbinu za kutathmini wanafunzi.
• Mwongozo wa kutekeleza kila shughuli iliyo kwenye kitabu cha Mwanafunzi hatua kwa hatua.
• Majibu kamili ya mazoezi pamoja na maelekezo kwa mwalimu kuhusiana na shughuli teule
• Viwango vya mwalimu kuzingatia anapowatathmini wanafunzi wake. Mwongozo huu umeandikwa kwa utaalamu na waandish wenye uzoefu mwingi -
EAEP Fun with CRE Activities PP1 (Appr) by EAEP
by EAEP
EAEP is pleased to introduce the exciting and enjoyable Fun with series.
Fun with Christian Religious Education Activities Pre-Primary 1, Pupils Book, is presented in a simple way that is easy to understand and in language that learners at this level will identify with.
The authors of this book ensured the curriculum design is fully covered as they simplified different concepts to suit the learners level.
The book offers among other features:
This book will introduce learners to the joy of learning as they begin their journey in education. -
EAEP Fun with CRE Activities PP2 (Appr) by Ngunjiri
by Ngunjiri
Fun with Christian Religious Activities Pre-Primary 2, Pupil’s Book, is a comprehensive course based on the new Competency-Based Curriculum, 2018 for Pre-Primary schools. The book has been presented in a simple way that is easy to understand. The book also presents concepts in a language that learners at this level will identify with. The teacher becomes a facilitator of learning and not simply a source of knowledge.
The authors of this book ensured that the curriculum design is fully covered as they simplified different concepts to suit the learner’s level.
The features of this book include:
The book ensures that learners continue enjoying the learning experience as they interact with Christian Religious Education.
The book has an accompanying Teacher’s Guide. The authors are teachers with vast experience. -
EAEP Fun with Environmental Activities PP2 (Appr) by Ogola
by Ogola
Fun with Environmental Activities PP2, Pupils Book, is a comprehensive course based on the new Competency-Based Curriculum, 2018 for primary schools. This course has been developed to enable learners apply the listening, speaking, reading and writing skills in their daily use of language. This book is presented in a simple manner. Learners at this level will enjoy using it. here, the teacher becomes a facilitator of learning and not simply a source of knowledge.
The key features of this book include: -
EAEP Fun With Language Activities PP2 (Appr)
by WANJIKU KIRAGU
Fun with Language Activities Pre-Primary 2 Pupil’s Book is a comprehensive course based on the new Competency-Based Curriculum, 2018 for Pre-Primary schools. This course has been developed to enable learners to apply the listening, speaking, reading and writing skills in their daily use of language. This Pre-Primary 2 book is presented in a simple manner. Learners at this level will enjoy using it. Here, the teacher becomes a facilitator of learning and not simply a source of knowledge.
The key features of this book include:
• A simple approach to language and presentation that is easy to follow.
• Relevant, well-drawn full-colour illustrations that are exciting to the children.
• A variety of competency-based learner-centred activities that help the learners to develop a wide range of skills.
• Suggestions for parents and guardians to be involved in the continuous learning process at home.
• Songs, poems and games that help the learners to understand the content within this book.
• Indoor and outdoor activities that learners do in pairs and in groups as they help each other to learn.
The book has an accompanying Teacher’s Guide. The author is an English Language teacher with vast experience. -
EAEP Fun with Mathematical Activities Pre-P2(Appr) by Patrick Kiswili
by Patrick Kiswili
Fun with mathematical activities is a comprehensive course book based on the new Competency-Based Curriculum (20 I 8).This Pre-Primary 2, Pupil’s book, is presented in a simple way Learners at this level will enjoy using this book
The key features of the book include relevant and well-drawn color illustrations; • a variety of competency-based learning activities: • suggestions for parents’ involvement in the continuous learning process, at home and • songs and poems at the end of the book.
The author, Patrick Kiswili, is an educational publisher with a high competence in Mathematics and Science. -
EAEP Great Minds CRE Activities GD2 Trs (Approved) by Muriithi
by Muriithi
Great Minds CRE Activities GD2, Teachers Book, is a comprehensive course based on the new Competency-Based Curriculum, 2018 for primary schools. This course has been developed to enable learners apply listening, speaking, reading, and writing skills in their daily use of language. This Grade 2 book is presented in a simple manner. Learners at this level will enjoy using it. here, the teacher becomes a facilitator of learning and not simply a source of knowledge.The key features of this book include:
- A simple approach to language and presentation that is easy to follow.
- Relevant, well drawn full-color illustrations.
- A variety of competency-based learner-centered activities that help the learners to develop a wide range of skills.
- Suggestions for parents and teachers to be involved in the continuous learning process.
- Songs and poems that help the learners to understand the content within this book.
- Indoor and outdoor activities that learners do in pairs and in groups as they help each other to learn.
-
EAEP Great Minds CRE Activities Grade 3 (Approved) by Muriithi
by Muriithi
Great Mine Chrifios Education Activities Grade 3, is a comprehensive course based on the new Competence d Curriculum,
2018 for Primary schools. This course has been developed to enable learners to apply Biblical teaching in their daily lives
.This Grade 3 book is presented in a simple manner Learners on this level will enjoy using it. Here the teacher becomes a
facilitator of learning and not simply a source of knowledge
The key features of this book include:
– A simple approach to language and presentation that is
to follow
– Relevant, well-drawn full-color illustrations
red cities that help the
– A variety of competency-based learner-centered activities that help the learners to develop a wide range of
– Suggestions for parents and teachers to be involved in the continuous
The learning process at home
– Songs, poems, bible verses, and prayers that help the learners to
understand the content within this book
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books