-
Certificate Physics 4 by EAEP
by EAEP
Certificate Physics is a four-year course developed for use in Secondary Schools. The course is written in line with the new Kenyan Syllabus (2002) and covers all the outlined topics. It has been developed with both the student’s and the teacher’s needs in mind. It draws heavily from the local environment, especially the available resources. The student-centred approach used in the course will enhance the learning of Physics at this level and beyond.
This is the fourth book in this series and is meant for use in Form Four. It is written using simple language, and it is well illustrated with clearly worked examples. There are clearly guided experiments meant to create and sustain interest in learning of Physics. -
Chanzo Cha Kiswahili Cha Kwanza
Kitabu cha chanzo cha Kiswahili kimekusudiwa kuunda msingi dhabiti wa lugha ya Kiswahili.
Kimeandikwa kuambatana na mfumo mpya wa C.B.C Kwa kuzingatia silabasi ya mfumo huu.
Pia kimenuia kuinua kiwango cha lugha Kwa kutumia mbinu za kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika.
Yaliyomo:
-Mazoezi ya kutosha.
-Hadithi fupi fupi .
-Picha za kuvutia.
-Msamiati wa kukuza lugha.
-
chanzo cha kiswahili Kitabu cha kwanza by smart brains
by smart brains
Kitabu cha chanzo cha Kiswahili kimekusudiwa kuunda msingi dhabiti wa lugha ya Kiswahili.
Kimeandikwa kuambatana na mfumo mpya wa C.B.C Kwa kuzingatia silabasi ya mfumo huu.
Pia kimenuia kuinua kiwango cha lugha Kwa kutumia mbinu za kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika.
Yaliyomo:
-Mazoezi ya kutosha.
-Hadithi fupi fupi .
-Picha za kuvutia.
-Msamiati wa kukuza lugha.
-
Cheche za Insha Gredi 6
Kinaakisi Mtalaa wa Umilisi
-Mazoezi ya ujuzi wa kidijitali
-Mwongozo wa uandishi hatua kwa hatua
-Nafasi za kufanyia mazoezi katika kila sura
-Vielelezo 25 vya insha zinazogusia Mtalaa wa Umilisi
-Ujuzi wa kuandika unaokuza ujifunzaji endelevu maishani
-Mazoezi ya kujenga msamiati yanayojikita kwa mwanafunzi
-Vichocheo zaidi ya 100 vya mazoezi ya kuandika insha bora
-Fursa ya kuchapishwa insha yako na kampuni ya Storymoja
-
Chemchemi Za Kiswahili 2 Mwongozo wa Mwalimu
by G.Waihiga.K.W.Wamitila
Mwongozo huu unapiga hatua pana zaidi ukilinganishwa na vitabu vingine vya aina yake ambavyo aghalabu huishia kuwa vitabu vya majibu tu.
Mwongozo huu wa mwalimu umenuiwa na bila shaka utafaulu katika: -
Chemchemi za Kiswahili kidato cha 1 Mwongozo wa Mwalimu… by G.Waihiga,K.W.Wamitila
Mwongozo huu unapiga hatua pana zaidi ukilinganishwa na vitabu vingine vya aina yake ambavyo aghalabu huishia kuwa vitabu vya majibu tu.
Mwongozo huu wa mwalimu umenuiwa na bila shaka utafaulu katika:
- Kutoa maelezo yenye uketo kuhusu jinsi ya kufunza mada na vipengee mbalimbali katika kidato cha kwanza.
- Kumwongoza, kumwelekeza na kumpendekezea mwalimu jinsi ya kuendesha mafunzo mbalimbali.
- Kumpendekezea mwalimu vifaa mbalimbali vya kutumia katika kufunza mada tofauti tofauti, ambavyo vyapatikana kwa urahisi katika mazingira ya mwalimu na mwanafunzi wa kidato cha kwanza. Kumnasihi mwalimu namna ya kufaulu katika kuziwasilisha mada ambazo huenda zikawawia changamano wanafunzi wa kidato cha kwanza.
- Kumpa mwalimu tafsili na mazoezi ya ziada kwa wanafunzi wenye uwezo unaotofautiana
-
Chemchemi za Kiswahili Kidato cha nne by Wamitila
by Wamitila
Chemchemi za Kiswahili ni mfululizo mpya wa vitabu vya Kiswahili ambavyo vimetayarishwa kwa kufuata silabasi mpya kwa shule za upili. Kitabu cha Chemchemi za Kiswahili, Kidato cha Nne kimezingatia mambo yafuatayo:- Vifungu vya ufahamu vya kuvutia na kusisimua vitakavyompa mwanafunzi mafunzo na mazoezi teletele.
- Maelezo na ufafanuzi mustahili wa vipengee mbalimbali vya fasihi andishi na fasihi simulizi.
- Ufafanuzi kwa kina kifaacho kuhusu uandishi wa kawaida, uandishi wa kiubunifu, uandishi wa insha na utungaji wa kisanii.
- Uwasilishaji murua na unaoeleweka wa vipengee tofauti tofauti vya sarufi pamoja na mpangilio mpya wa ngeli.
- Usomaji wa makala mbalimbali katika magazeti, majarida, vitabu n.k.
- Mafunzo na mazoezi ya kusikiliza na kuzungumza yanayoburudisha na kushadidia vipengee mbalimbali muhimu kwa kuzingatia kiwango cha mwanafunzi wa kidato cha nne.
- Mifano kabambe ya karatasi za mtihani wa Kiswahili zenye muundo mpya wa mtihani hitimishi wa KCSE.
-
Chemchemi za Kiswahili Kidato cha tatu by Wamitila
by Wamitila
Chemchemi za Kiswahili ni mfululizo mpya wa vitabu vya Kiswahili ambavyo vimetayarishwa kwa kufuata silabasi mpya kwa shule za upili. Kitabu cha Chemchemi za Kiswahili,
Kidato cha Tatu kimezingatia mambo yafuatayo:- Vifungu vya ufahamu vya kuvutia na kusisimua vitakavyompa mwanafunzi mafunzo na mazoezi teletele.
- Â Maelezo na ufafanuzi mustahili wa vipengee mbalimbali vya fasihi andishi na fasihi simulizi.
- Ufafanuzi kwa king kifaacho kuhusu uandishi wa kawaida, uandishi wa kiubunifu, uandishi wa insha na utungaji wa kisanii.
- Uwasilishaji murua na unaoeleweka wa vipengee tofauti tofauti vya sarufi pamoja na mpangilio mpya wa ngeli.
- Usomaji wa makala mbalimbali katika magazeti, majarida, vitabu n.k.
- Mafunzo na mazoezi ya kusikiliza na kuzungumza yanayoburudisha na kushadidia vipengee mbalimbali muhimu kwa kuzingatia kiwango cha mwanafunzi wa kidato cha tatu.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books