Chemchemi za Kiswahili kidato cha 1 Mwongozo wa Mwalimu… by G.Waihiga,K.W.Wamitila

KSh905.00

In stock

Mwongozo huu unapiga hatua pana zaidi ukilinganishwa na vitabu vingine vya aina yake ambavyo aghalabu huishia kuwa vitabu vya majibu tu.

Mwongozo huu wa mwalimu umenuiwa na bila shaka utafaulu katika:

  • Kutoa maelezo yenye uketo kuhusu jinsi ya kufunza mada na vipengee mbalimbali katika kidato cha kwanza.
  • Kumwongoza, kumwelekeza na kumpendekezea mwalimu jinsi ya kuendesha mafunzo mbalimbali.
  • Kumpendekezea mwalimu vifaa mbalimbali vya kutumia katika kufunza mada tofauti tofauti, ambavyo vyapatikana kwa urahisi katika mazingira ya mwalimu na mwanafunzi wa kidato cha kwanza. Kumnasihi mwalimu namna ya kufaulu katika kuziwasilisha mada ambazo huenda zikawawia changamano wanafunzi wa kidato cha kwanza.
  • Kumpa mwalimu tafsili na mazoezi ya ziada kwa wanafunzi wenye uwezo unaotofautiana
Compare
Be the first to review “Chemchemi za Kiswahili kidato cha 1 Mwongozo wa Mwalimu… by G.Waihiga,K.W.Wamitila”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?