-
Sofia na Mbwa wake na Hadithi Nyingine level 1
by Queenex
Sofia na Mbwa Wake ni hadithi ya kumsisimua kila :mtoto anayependa kuwatunza na kuwalinda wanyama wa nyumbani. Hadithi hii inaeleza jinsi Sofia anajitolea kumtunza mbwa anayepewa na mjomba wake. Kwa usaidizi wa wazazi wake, Sofia anampa mbwa wake matunzo mazuri yanayoifanya afya ya mbwa huyu kuwa bora zaidi. Ni kitabu kinachojumuisha hadithi nyingine zenye msisimko wa aina yake.
-
Soko Mjinga na Hadithi Nyingine Grade 4C
by QUEENEX
Queenex Hadithi za Ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.
-
Solving Problems KCSE Mathematics Paper 1 by C. Muturi
by C. Muturi
Solving problem. — KCSE Mathematics Paper I contains a total of 672 questions in 28 KCSE model examination papers. It is divided into three parts
Part cam contains 10 solved KCSE model examination papers with a full marking scheme. In the marking scheme, alongside each solved question, the type of mark and the reason for awarding that mark is given at the stage where the mark matures. This is intended to instill the importance of ‘method’ in working out Mathematics questions. The Author has selected the simplest method of solving each question. Alternative methods of solving the same questions may exist. Finding these methods has been left out deliberately as a challenge to the reader.
Part two contains 18 unsolved KCSE model examination papers which are set in line with the solved KCSE model examination papers of part one. This is intended to provide the reader with ample practice exercises.
Part three contains answers to the unsolved KCSE model examination papers. -
Soma nasi Kusoma na Kuandika Kitabu cha Mwanafunzi … by Oxford
by Oxford
Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiwiahili ni msururu wa vitabu vipya vitivyoandikwa kwa upekee iii kutosheleza mahitaji ya mtataa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza. kusoma no kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi utiopendekezwa, maaditi na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili, Kitabu cha Muranafunzl, Gredi 2, utapata:
• mada zitizopangwa kwa kuzingatia mtataa mpya
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
• mazoezi nje ya darosa iii kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughull za kijamii zinazokuza ujifunzaji
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na watezi iii kuimarisha uwajibikaji
• sehemu ya Tujifurahishe’inayolenga kuwasisimua wanafunzi wanopotumia lugha. -
Soma Nasi Kusoma na Kuandika Teachers Guide Grade … by Oxford
by Oxford
Soma nasi. Kusoma na Kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee iii kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitio stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha. vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi utaopendekezwa. maadili na kufahamisha kuhusu masuataibuka. Soma nasi. Kusoma na Kuandika Kiswahili. Mwongozouua Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano hatisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books