-
Moran Stadi za Kiswahili – Mwanafunzi Gradi 5 (Approved)
by KIPANDE
Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Umilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:
• Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 5.
• Maswali dadisi yametumiwa kutanguliza dhana zilizomo.
• Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawiliwawili na za makundi ya wanafunzi.
• Kimeshughulikia masuala makuu yote kwa mujibu wa ruwaza ya Kiswahili cha Gredi ya 5
• Kimejumuisha mada kuu na mada ndogo zote.
• Yaliyomo yamepangwa kulingana na ruwaza ya Kiswahili cha Gredi ya 5.
• Yaliyomo yamewasilishwa kwa ubunifu wa kiwango cha juu.
• Kimeshughulikia matokea maalum yanayotarajiwa katika Gredi ya 5.
• Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Umilisi.
• Kimeshughulikia masuala mtambuko yote.
• Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi.
• Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za kusikiliza na kuzungumza, kusoma na kuandika
• Michoro na picha za rangi zinachangia yaliyomo kueleweka kwa urahisi.
• Maandishi makubwa na ya rangi mbalimbali yanasomeka kwa urahisi.Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 5 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.
-
Moran Stadi za Kiswahili Grade 7 (Approved)
by Moran
Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:
-Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 7
-Maswali dadisi yametumiwa kumfikirisha mwanafunzi
-Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawiliwawili na za makundi ya wanafunzi
-Kimejumuisha mada na mada ndogo zote
-Yaliyomo yamepangwa kulingana na mpangilio wa Kiswahili Gredi ya 7
-
Moran Stadi za Kiswahili Gredi 6 (Approved)
Stadi za kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kaswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtalaa wa Kiswahili.
-
Moran Stadi za Kiswahili Mwalimu GD3 (Approved) by Kipande
by Kipande
Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 3 ni mwongozo unaomwelekeza mwalimu kuendesha vipindi vya Kiswahili darasani. Kwa mintarafu ya mtaala mpya uegemedo umilisi uliozinduliwa na Taasisi ya Ukuzgji Mitaala ya Kenya (KICD) mnamo Septemba 2017 na uliotumiwa kukiandaa kitabu hiki, mwalimu ni mwezeshaji wa mchakato wa ufundishgji na ujifunzaji. Mwongozo huu umetayarishwa kwa kutilia maanani ukweli huu.
Mwalimu amependekezewa jinsi ya kuandaa masomo, mbinu, zana na vifaa, utaratibu wa ufundishaji na jinsi ya kupima kiwango cha umilisi wa mwanafunzi baada ya kila kipindi. Aidha, Mwalimu amependekezewa jinsi ya kusimamia shughuli za mwanafunzi binafsi, za wanafunzi wawiliwawili na hata za makundi ya wanafunzi. Aidha, majibu ya mazoezi yaliyomo katika Kitabu cha Mwanafunzi yametolewa katika mwongozo huu.Katika kila kipindi, mwalimu amependekezewa jinsi ya kuhusisha stadi nne kuu za lugha: kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Si hayo tu, ameelekezwa jinsi ya kuoanisha mada mbalimbali na umilisi wa kimsingi, masuala mtambuko, maadili, uhusiano wa mada mbalimbali na masomo mengine miongoni mwa masuala mengine yanayofumbatwa na mtaala mpya uegemedo umilisi.
Azma ya mwongozo huu ni kumchochea mwalimu kuwa mbunifu katika kuendeleza vipindi vya Kiswahili. Hivyo, ataweza kumtayarisha mwanafunzi wa Gredi ya 3 kutumia Kiswahili sanifu katika mazingira mbatimbali kwa kujithamini na kujiamini.
-
Moran Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwalimu Gredi 2 (Approved)
by MORAN
Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 2 ni mwongozo unaomwelekeza mwalimu kuendesha vipindi vya Kiswahili darasani. Kwa mintarafu ya mtaala mpya uegemedo umilisi uliozinduliwa na Taasisi ya Ukuzaji Mitaala ya Kenya (KICD) mnamo Septemba 2017 na uliotumiwa kukiandaa kitabu hiki, mwalimu ni mwezeshaji wa mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji. Mwongozo huu umetayarishwa kwa kutilia maanani ukweli huu.
Mwalimu amependekezewa jinsi ya kuandaa masomo, mbinu, zana na vifaa, utaratibu wa ufundishaji na jinsi ya kupima kiwango cha umilisi wa mwanafunzi baada ya kila kipindi. Aidha, Mwalimu amependekezewa jinsi ya kusimamia shughuli za mwanafunzi binafsi, za wanafunzi wawiliwawili na hata za makundi ya wanafunzi. Aidha, majibu ya mazoezi yaliyomo katika Kitabu cha Mwanafunzi yametolewa katika mwongozo huu.
Katika kila kipindi, mwalimu amependekezewa jinsi ya kuhusisha ‘stadi nne kuu Za lugha: kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Si hayo tu, ameelekezwa jinsi ya kuoanisha mada mbalimbati na umilisi wa kimsingi, masuala mtambuko, maadili, uhusiano wa mada mbalimbali na masomo mengine miongoni mwa masuala mengine yanayofumbatwa na mtaala mpya uegemedo umilisi.
Azma ya mwongozo huu ni kumchochea mwalimu kuwa mbunifu katika kuendeleza vipindi vya Kiswahili. Hivyo, ataweza kumtayarisha mwanafunzi wa Gredi ya 2 kutumia Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali kwa kujithamini na kujiamini.
-
Moran Thriving Life Skills Education Grade 7 (Approved)
by Moran
Thriving Life Skills Education for Grade 7 is a coursebook developed in line with the Competence Based Curriculum. It presents appropriate skills, knowledge. values and attitudes essential for learning Life Skills Education for this level.
-
Moses and Mildred by Kimenye
by Kimenye
Readers of Moses will remember his disastrous first term at Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. This term, however, Moses is hoping for the best. and is looking forward to showing his pet. Mildred. to his friend, King Kong.
But things start badly and get worse. There’s a new boy. Magara, who is a bully. Then King Kong loses the election for dormitory prefect. Then Mildred disappears …
Moses and Mildred is the second title in the adventures of Barbara Kimenye’s mischievous Ugandan schoolboy.
The Moses Series
Moses Moses on the Move Moses in Trouble Moses and the Penpal Moses and the Kidnappers Moses the Camper Moses in a Muddle Moses and the Raffle Moses and the Ghost Moses and the School Farm -
Moses and the Raffle by kimenye
by kimenye
Moses and his friend King Kong are in trouble, again. They are in serious financial problems and have to come up with a solution pretty fast. Through what he considers a stroke of genius, King Kong comes up with the idea of having a raffle. However, they have nothing to raffle.
In their such for a prize, Moses. King Kong. Rukia and Itchy Fingers become involved with a stranger called Nick Molo who offers them a Mercedes Benz car to raffle. There are many exciting moments as the boys set up their raffle. invite girls from a neighbouring school to join them, try to hide their secret from the teachers. and help the police to solve a crime.
Moses and the Raffle is the tenth title of the adventures of Barbara Kimenye’s mischievous Ugandan schoolboy.
The Moses Series
Moses Moses and Mildred Moses in Trouble Moses and the Kidnappers Moses in a Muddle
Moses and the Ghost Moses on the Move Moses and the Penpal Moses and the Penpal Moses and the School Farm -
Moses in a muddle by Barbara Kimenye
by Barbara Kimenye
Author: Barbara KimenyeISBN: 978 019 573852 0Format: 176 by 125 mmExtent: 76 pagesBinding: Saddle-stitchedYear: 1976 -
Motor & Diesel Trade Theory N2 Student’s Book
by Sparrow Consulting
Well-explained practical components and theoretical aspects prepare students for the workshop and for industry. Line drawings and easy-to-understand diagrams make for student-friendly content. Practice tests to prepare students for assessments.
ISBN: 9781430804727
-
Motor Trade Theory N1 Student’s Book
by Jowaheer Consulting&Tech, D Naidoo
Well explained practical components and theoretical aspects prepare students for the workshop and for industry. Line drawings and easy to understand diagrams make for student friendly content. Practical tests to prepare students for assessments.
ISBN: 9781430808640
-
Motor Trade Theory N2 Student’s Book
by Sparrow Consulting
This Student’s Book comes packed with features that prepare students for exam success:
-Easy to follow explanations enhance learning
-Logical sequencing and pacing
-Varied activities modelled on exam questions
-Clear diagrams and photographs aid understanding
-Language support for new concepts and terminology
-Step-by-step approach to problem-solving
-Module summaries help with revision
-Formative assessments based on exams
ISBN: 9781430808855
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books











