-
Marudio Hima Hima Kiswahili kidato cha 1(maswali,Majibu,Maelezo na … by Grace N.Muriithi
by Grace N.Muriithi
Marudio Hima Hima Kiswahili kidato cha 1 ni kitabu cha kwanza cha marudio katika msururu wa vitabu vinne vya kidato cha kwanza hadi cha nne vya marudio.Vitabu hivi vimetungwa kw kuzingatia mahitaji ya silabasi pamoja na kumwelekeza mwanafunzi na mwalimu katika kuyaelewa mahitaji kamili ya kila swali. -
Marudio Hima Hima Kiswahili kidato cha 2 (maswali,Majibu,Mazoezi … by Dinah S.Osango
by Dinah S.Osango
Marudio Hima Hima Kiswahili Kidato cha 2 ni kitabu cha pili cha marudio katika msururu wa vitabu vinne vya kidato cha kwanza hadi cha nne vya marudio.Vitabu hivi vimetungwa kwa kuzingatia mahitaji ya silabasi pamoja na kumwelekeza mwanafunzi na mwalimu katika kuyaelewa mahitaji kamili ya kila swali. Kinyume na kawaida katika vitabu vya mazoezi na marudio, msururu wa Marudio Hima Hima unazingatia:
Huu ni msururu wa vitabu ambavyo ni kama vito vya thamana katika kumtayarisha mwanafunzi kukumbana na mtihani wa Kiswahili katika ngazi ya KCSE.Waandishi wa msururu huu ni walimu waliobobea na wenye tajriba. Wamefundisha Kiswahili kwa miaka mingi pamoja na kushiriki katika utungaji na utahini wa mtihani wa Kiswahili wa KCSE. -
Marudio Hima hima Kiswahili Kidato cha 4
by Wanjiru Maina, Jennifer N.Wachira
Marudio Hima Hima Kiswahili Kidato cha 4 ni kitabu cha mwisho cha marudio katika msururu wa vitabu vinne vya kidato cha kwanza hadi cha nne vya marudio. Vitabu hivi vimetungwa kwa kuzingatia mahitaji ya silabasi pamoja na kumwelekeza mwanafunzi na mwalimu katika kuyaelewa mahitaji kamili ya kila swali.Kinyume na kawaida katika vitabu vya mazoezi na marudio, msururu wa Marudio Hima Hima unazingatia:
- Mahitaji ya silabasi kikamilifu kutoka imiluila hadi muluila, kidato hadi kidato.
- Maswali yanayotahinivva vanatilia nikazo umilisi na utendaji wa inwanafunzi kalika matumizi ya lugha.
- Viwangovyote vya utendaji vimetiliwa maananijyaani: kusoma, knsikilizanakuongra. kuandtica, msamiati na isimujamii.
- Lugha rahisi na nyepesi
- Vifungu vyonye  kuibua na kuyajadili maswala ibuka yakiwemo yanayohusu teknohama na ujasiriamali.
- Majibu yenye kulenga hoja kifupi laldni kwa kikamilifu.
- Maelezo na maelekezo ya kinachotahiniwa na jinsi ya kupata jibu sahihi.
Huu ni msururu wa vitabu ambavyo ni kama vito vya thamana katika kumtayarisha mwanafunzi kukumbana na mtihani wa Kiswahili katika ngazi ya KCSE.Waandishi wa msururu huu ni walimu waliobobea na wenye tajriba. Wamefundisha Kiswahili kwa miaka mingi pamoja na kushiriki katika utungaji na utahini wa mtihani wa Kiswahili wa KCSE.
-
Masomo ya Msingi Darasa la 8 by Waweru
by Waweru
Masomo ya Msingi 8 ni kitabu cha none katika mfululizo wa vitabu vinane vya Kiswahili katika Shute za Msingi. Kilo kimoja cha vitabu hivi Kinakuza masomo ya kitabu kinachofuata. Vitabu hivi vimeandikwa kulingana na matarajio ya ratiba iliyotolewa na taasisi ya elimu (2002). Michoro iliyomo katika kitabu hiki ni ya kupendeza kwa kilo mwanafunzi anayejifunza Kiswahili. Kitabu hiki kinafundisha lugha kutegemea stadi na maarifa kama inavyopendekezwa na taasisi ya Elimu ya Kenya. Mifano iliyotolewa ni ile ambayo mwanafunzi anakumbana nayo katika maisha yoke ya kila siku. Masomo yaliyomo katika Masomo ya Msingi 8 yamepangwa kulingana na mgawo wa stadi zilizoko kwenye silabasi. Kila sura katika kitabu hiki imegawika kama ifuatavyo: A. Ufahamu B. Sarufi C. Msamiati D. Kusikiliza no kuongea E. Kuandika Kitabu hiki kimejengwa katika misingi thabiti ya hatua kwa hatua, hali ambayo itamwezesha mwanafunzi kusoma taratibu na katika hali ya kujiendeleza. Mna pia mazoezi ya kutosha ya kumjenga mwanafunzi ipasavyo. Waandishi wa mfululizo huu wa Masomo ya Msingi ni wenye tajriba kuu katika ualimu na wanayafahamu mahitaji ya wanafunzi waiiowaandikia. Ni matumaini yetu kwamba mfululizo wa masomo haya utakuwa mwangaza kwa wote. -
Mastering Computers Book 1 (Smartbrains)
by IT Patel
Mastering Computers is a book intended for use by pre-primary pupils. It has been thoroughly researched on and introduces pupils to the simplest and most basic ways of computers.
-
Mastering Number work PP1
Mastering Number Work is a book intended for use by pre-primary Il pupils. It has been thoroughly researched on and introduces pupils to the simplest and most basic ways of mathematics.
The unique strength of the book lies in the following areas:
* New curriculum concepts and skills with a variety of activities.
* Variety of exercises that test understanding of concept and skills learnt.
* Enough revision exercises for remedial work. -
Mastery (The Robert Greene Collection)
Around the globe, people are facing the same problem – that we are born as individuals but are forced to conform to the rules of society if we want to succeed. To see our uniqueness expressed in our achievements, we must first learn the rules – and then how to change them completely. Charles Darwin began as an underachieving schoolboy, Leonardo da Vinci as an illegitimate outcast. The secret of their eventual greatness lies in a ‘rigorous apprenticeship’: by paying close and careful attention, they learnt to master the ‘hidden codes’ which determine ultimate success or failure. Then, they rewrote the rules as a reflection of their own individuality, blasting previous patterns of achievement open from within. Told through Robert Greene’s signature blend of historical anecdote and psychological insight and drawing on interviews with world leaders, Mastery builds on the strategies outlined in The 48 Laws of Power to provide a practical guide to greatness – and how to start living by your own rules.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books











