Masomo ya Msingi Darasa la 8 by Waweru

KShs200.00

In stock

by Waweru
Masomo ya Msingi 8 ni kitabu cha none katika mfululizo wa vitabu vinane vya Kiswahili katika Shute za Msingi. Kilo kimoja cha vitabu hivi Kinakuza masomo ya kitabu kinachofuata. Vitabu hivi vimeandikwa kulingana na matarajio ya ratiba iliyotolewa na taasisi ya elimu (2002). Michoro iliyomo katika kitabu hiki ni ya kupendeza kwa kilo mwanafunzi anayejifunza Kiswahili. Kitabu hiki kinafundisha lugha kutegemea stadi na maarifa kama inavyopendekezwa na taasisi ya Elimu ya Kenya. Mifano iliyotolewa ni ile ambayo mwanafunzi anakumbana nayo katika maisha yoke ya kila siku. Masomo yaliyomo katika Masomo ya Msingi 8 yamepangwa kulingana na mgawo wa stadi zilizoko kwenye silabasi. Kila sura katika kitabu hiki imegawika kama ifuatavyo: A. Ufahamu  B. Sarufi  C. Msamiati D. Kusikiliza no kuongea  E. Kuandika  Kitabu hiki kimejengwa katika misingi thabiti ya hatua kwa hatua, hali ambayo itamwezesha mwanafunzi kusoma taratibu na katika hali ya kujiendeleza. Mna pia mazoezi ya kutosha ya kumjenga mwanafunzi ipasavyo. Waandishi wa mfululizo huu wa Masomo ya Msingi ni wenye tajriba kuu katika ualimu na wanayafahamu mahitaji ya wanafunzi waiiowaandikia. Ni matumaini yetu kwamba mfululizo wa masomo haya utakuwa mwangaza kwa wote.

Compare
Category:
Be the first to review “Masomo ya Msingi Darasa la 8 by Waweru”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?