- 
	Kiswahili Mufti Kioo cha Mtihani Mwongozo wa Mwalimu by Joseph Mwamburi, Wallah …by Joseph Mwamburi, Wallah Bin Wallah 
 Kiswahili Mufti 8: Mwongozo we Mwalimu unampa mwalimu maelezo kamili kuhusiana na mbinu mwafakaza kutayarisha, kuendesha na kutathmini vipindi vya Kiswahili darasani. Mwongozo huu mpana sana unampa mwalimu maelekezo mwafaka yatakayomwezesha kuviandaa na kuviendesha vizuri vipindi vinavyoshughulikia vipengele vifuatavyo:
 Mwongozo huu una mifano mwafaka ya maazimio ya kazi na ratilp ya vipindi itakayomwongoza mwalimu kuzingatia mbinu zifaazo za kutekeleza malengo yote ya somo. Pia, una majibu ya maswali yote yaliyomo kwenye kitabu cha wanafunzi.
- 
	Primary Mathematics Std 8This new edition is the eighth book in the new series of Primary Mathematics. The coursebook is intended for use by Standard 8 pupils. It has been revised and expanded to reflect new development and it is therefore more exhaustive, more useful than ever before, The unique strength of the book lies in the following areas: - Adequate coverage of the syllabus concepts and skills with a strong activity orientation,
- A variety of examples enclosed in coloured frames to promote self-study and ease of use.
- A variety of exercises that test the understanding of every concept and skill learnt.
- Revision exercises consolidating the topics covered and supplementary exercises for remedial work.
 The book comes with a separate, comprehensive teacher’s guide and a Standard 8 mathematics workbook, 
- 
	Excelling in English Form three Teachers’ Guide by Prof Henry Indangasi, Dr…by Prof Henry Indangasi, Dr Phyllis Mwangi, Mr Charles Gecaga, Mr Muchiri Mukunga 
 Excelling in English Teachers’ Guide 3 is a manual designed to help the teacher use the Students’ Book effectively. It sets out with extreme lucidity, objectives for each individual item to be taught in each unit, thereby placing the teacher on the right road to seeing the desired knowledge and attitudes more clearly. Useful tips are also given on how to involve the students in the activities and exercises in the Students’ Book. The guide further contains additional notes and makes the teacher well equipped to handle the lessons successfully. Diagnostic exercises are given to ensure that complete learning takes place. Answers to the exercises and samples for the writing tasks are provided to assist the teacher evaluate the students’ total progress. The guide further sensitizes the teacher on how to accommodate students with special needs and thus ensure multi-ability learning. This is one book that everybody wishing to use Excelling in English series cannot do without.
- 
	Alive: A New CRE course Form 2 by Petronilla Kidakwa, Jane…by Petronilla Kidakwa, Jane Mbugua, Evelyn Jaoko, Daniel Mirumbe 
 ALIVE: A New Christian Religious Education Course is a series that comprehensively addresses the objectives and requirements of the Christian Religious Education CRE Syllabus for secondary schools. Developed by a team of subject experts and experienced teachers, this innovative series combines knowledge acquisition with fun elements and real-life occurrences to deliver on exciting top-notch learning experience. This series aims at moulding learners into role models in society by instilling positive behavioural change. It also helps them to develop a good attitude and life skills that will enable them to effectively deal with emerging issues. The Student’s Book for Form 2 is skilfully written to enhance the learners’ understanding of the main concepts of the CRE course. It also guides the learners on how to incorporate the concepts and lessons learned in their daily lives.
- 
	OUP Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwalimu Grade 8 (Approved)Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala. Mwongozo huu wa mwalimu una: -Utangulizi kuhusu Mtaala wa Kiumilisi -Muhtasari wa umilisi, maadili na masuala mtambuko yaliyoratibiwa kukuzwa -Mifano ya vifaa vya kutathmini na jinsi ya kuviandaa vifaa hivyo -Mapendekezo kuhusu mbinu bora za ufunzaji na ujifunzaji -Jinsi ya kuwahudumia wanafunzi wenye mahitaji maalumu -Nyaraka za kitaaluma -Maelekezo kuhusu jinsi ya kuwahusisha wanafunzi katika shughuli za kijamii. Mwongozo huu pamoja na Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanfunzi Gredi ya 8 ni nyenzo muhimu zitakazokuwezesha wewe na wanafunzi wako kufaulu katika Mtaala wa Kiumilisi. 
- 
	Siri Sirini mtihani wa mwanamke kitabu cha 3by Rocha M.Chimerah, Siri Sirini Mtihani wa Mwanamke Kitabu cha 3- ni riwaya ya mwisho katika msururu wa riwaya tatu za Siri Sirini. Ni ufichuzi wa siri iliyotanda katika kitabu cha 1 na cha 2. 
- 
	JKF Foundation Performing Arts Grade 7by JKF This book has been developed in conformity with the competency-based curriculum, targeting learners in Grade 7. It covers all the learning areas and contains a rich variety of carefully selected learning experiences that will effectively achieve the learning outcomes. Every effort has been made to ensure that the learning of Performing Arts is not only meaningful to the learner’s day-to-day life, but is also fun and interesting. 
- 
	Kurunzi ya Kiswahili Grade 7by Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu mtaala mpya unaolenga umilisi kwa njia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ufunzaji. 
- 
	JKF Foundation Mathematics Learner’s book Grade 7by JKF This is the first book in the new series of Foundation Mathematics written specifically for the competency-based curriculum for Junior Secondary. The coursebook is intended for use by Grade 7 Learners. It prepares the learner for day-to-day living and number work activities in secondary school. 
 Shop By Categories
            - International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
 
			        










