-
K.C.S.E Masterpiece revision chemistry form four with answers. by Obuong’s S.I.O
by Obuong’s S.I.O
The key to exam success is a good understanding of the subject and practice. This formfour Chemistry is designed for that purpose. It allows you to practice different kind of questions: from short answer questions, through structured questions to apparatus, flow charts and graphical methods.The answers at the back allow you the opportunity to evaluate your answers against schemed model answers.It covers the entire K.C.S.E form four syllabus with topics re-arranged into units for good depth, validity, chronology and coherence. The content herein has been pegged on the K.C.S.E. High School Chemistry curriculum objectives.It will test the learner on all types of testing facets: memory, knowledge and understanding, handling information and problem-solving: and experimental skills. This will ensure a detailed grasp and understandings of Chemistry right from form one.Moreover the ASEI and PDSI concepts of the SMASSE project high school science curriculum have been considered.The key features of this book include: -
K.C.S.E Masterpiece revision chemistry form three with answers. by Obuong’s S.I.O
by Obuong’s S.I.O
The key to exam success is a good understanding of the subject and practice. This form three Chemistry is designed for that purpose. It allows you to practice different kind of questions: from short answer questions, through structured questions to apparatus, flow charts and graphical methods.The answers at the back allow you the opportunity to evaluate your answers against schemed model answers.It covers the entire K.C.S.E form three syllabus with topics re-arranged into units for good depth, validity, chronology and coherence. The content herein has been pegged on the K.C.S.E. High School Chemistry curriculum objectives.It will test the learner on all types of testing facets: memory, knowledge and understanding, handling information and problem-solving: and experimental skills. This will ensure a detailed grasp and understandings of Chemistry right from form one.Moreover the ASEI and PDSI concepts of the SMASSE project high school science curriculum have been considered.The key features of this book include: -
K.C.S.E Masterpiece revision chemistry form two with answers. by Obuong’s S.I.O
by Obuong’s S.I.O
The key to exam success is a good understanding of the subject and practice? This form two Chemistry is designed for that purpose. It allows you to practice different kind of questions: From short answer questions, through structured questions to apparatus, flow charts and graphical methods.The answers at the back allow you the opportunity to evaluate your answers against schemed model answers.It covers the entire K.C.S.E form two syllabus with topical rearranged into units for good depth, validity chronology and coherence. The content herein has been pegged on the K.C.S.E. High School Chemistry curriculum objectives.It will test the learner on all types of testing facets: memory; knowledge and understanding; handling information and problem-solving; and experimental skills. This will ensure a detailed grasp and understanding of Chemistry right from form one.
Moreover the ASEI and PDSI concepts of the smasse project high school science curriculum have been considered.The key features of this book include:.
-
Kalulu na Mti Mkavu 4e
by TANGUKO
Kalulu anampeleka ng’ombe wake sokoni kumuuza. Njiani, anapata mnunuzi wa ajabu ambaye ni mti wa mbuyu uliokauka.
Itakuwaje mti uuziwe ng’ombe?
Kalulu na Mti Mkavu ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la nne katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.
Mradi wa kusoma ni vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. -
Kalulu na Mti Mkavu 4e
by TANGUKO
Kalulu anampeleka ng’ombe wake sokoni kumuuza. Njiani, anapata mnunuzi wa ajabu ambaye ni mti wa mbuyu uliokauka.
Itakuwaje mti uuziwe ng’ombe?
Kalulu na Mti Mkavu ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la nne katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.
Mradi wa kusoma ni vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. -
Kamusi Angaza kwa Shule za Msingi by Ahmed E.Ndalu
Kamusi Angaza kwa Shule za Msingi ni zao la utafiti wa kina uliofanywa na mwandishi na wanaleksikografia. Kamusi hii imetungwa kwa utaalamu mkuu na kwa kuzingatia msomaji lengwa. Miongoni mwa sifa za kamusi hii zinazodhihirisha upekee wake ni:
- zaidi ya vidahizo 7,000
- takriban maneno 170,000
- ngeli zimebainishwa ifaavyo
- mifano ya sentensi kwa Kiswahili sanifu
- picha za kuvutia msomaji
- kiambatisho kinachojumuisha picha za wanyama, maumbo, rangi na aina nyingi za ndege.
Kwa msingi wa sifa za kamusi hii, ni dhahiri kuwa kwa kuitumia, mwalimu na mwanafunzi watakuza msamiati, kufahamu ngeli na matumizi yake na vilevile matumizi ya kidahizo husika kutunga sentensi sahihi kisarufi.
-
Kamusi Changanuzi ya Methali by Gichohi Waihiga,francis …
KAMUSI CHANGANUZI YA METHALI Â ni kitabu chenye mkusanyiko mkubwa zaidi wa methali kikilinganiishwa na kamusi nyingine mbalimbali zilizowahi kuiayarishwa kufikia sasa. Lakini la muhimu zaidi. licha ya wingi wa methali, kitabu hiki kinayo haiba, mnato na muundo wa kipekee unaokifanya kuvutia jicho la kila msomaji. Isitoshe. methali zilizomo zimechanganuliwa kwa lugha rahisi inayoeleweka na wapenzi wa lugha hii wa viwango vyote.
Kwa jumla kinazo sifa zifuatazo.
- Mkusanyiko wa zaidi ya methali elfu mbili na mia nne.
- Methali halisi zisizo za kubambanya zilizopangiliwa kwa utaratibu wa kialfabeti kuanzia A hadi Z.
- Maelezo kamili ya msamiati mgumu uliomo.
- Maelezo kamili ya maana ya  kila methali
- Maelekezo kamili ya matumizi ya kila methali.
- Methali zenye maana sawa au  kinyume na  nyingine zimedhihirishwa na kuelekezwa kurasa zipatikanamo.
-
Kamusi Elezi ya Kiswahili (JKF) by JKF
Kamusi Elezi ye Kiswahili ni kamusi ya kisasa iliyoandikwa kwa ufindi wa kipekee na iliyo na maelezo ya vidahizo, Na kamusi iliyofungamana na hatua za kimaendeleo katika taaluma ya lugha ya Kiswahili na fasihi yake Itawafaa wataalamu, wanafunzi na walumizi wengine wa lugha ya Kiswahili. NI kamusi yenye upeo wa kimataifa. Licha ya maneno, semi na maelezo yake, ina vielezo vya michoro na matamshi ya vidahizo
Site kuu za Kamusi Elezi ya Kiswahlli • Vidahizo vipatavyo 45,000 • Maneno mapya yapatayo I.000 • Jopo la wataalamu wenye tajiriba kutoka Kenya. Tanzania na Japani • Matamshi murua kifonetiki: kulingana na alfabeti ya kifonetiki ya kimataifa • maelezo kamilifu ya kidahizo bila kutengemea visawe• Ufafanuzi wa kipekee wa methali, misemo na nahau • Kuhusishwa kwa dhana mpya za teknolopa na sayansi • msamiati mpya wa samaki na vyombo vya bahari • Mifano mwalaka yenye kushadidia maana • michoro na picha maridhawa zinazooana na maelezo
-
Kamusi Fafanuzi ya Methali by Timothy Arege,Mwalaa Nya…
by Timothy Arege, Mwalaa Nyanje
Kamusi Fafanuzi ya Methali ni kitabu muhimu sana kwa wanafunzi na walimu wa shule za msingi na upili. Kitawafaa wanafunzi wa vyuo vya ualimu na vyuo vikuu pamoja na watafiti na wapenzi wa lugha ya Kiswahili katika viwango vyote. -
Kamusi Rasmi ya Picha by Yahya Mutuku
by Yahya Mutuku
Kamusi rasmi ya picha imeandikwa kwa upekee usiodhihirika katika kamusi nyingine. Kamusi hii ina sifa zifuatazo- Imeepuka mpangilio wa kialfabeti uliotumiwa na kamusi nyingine. Msamiati umepangwa kwa makundi badala ya kialfabeti kwa sababu wanafunzi katika kiwango hiki bado hawawezi kusaka msamiati kialfabeti (kiabjadi).
- Mkusanyiko wa msamiati unaambatana na ule ulio katika silabasi ya Kiswahili iliyoidhinishwa na taasisi ya elimu nchini (awali Kenya Institute of Education, sasa Kenya Institute of Curriculum Development).
- Kamusi hii ina picha maridadi zinazomvutia mwanafunzi na kumrahisishia kazi.
- Picha zote zimeambatanishwa na maelezo kabambe na kwa lugha nyepesi inayomfaa si mwanafunzi pekee bali mtu yeyote akipendaye Kiswahili.
- Msamiati uliotumika utamwezesha mwanafunzi kujua mengi kwenye mazingira yake.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books