Tafakari ya Babu by Moran
by Moran
Tafakari ya Babu ni mkusanyo wa visa vifupivifupi ambavyo Bwana Mdoe ameshasimulia ama atasimulia wakati wa kusoma habari. Visa vilivyomo katika kitabu hiki vinasheheni mafunzo mengi mbali na ucheshi wa kuvunja mbavu. Watu wengi wametaka kujua, “Je, huyu babu yako Bwana Mdoe ni mtu halisi anayeishi ama ni mhusika wa kubuni?” Huenda msomaji akang’amua jibu la swali hili na mengineyo baada ya kusoma kitabu hiki…
WhatsApp us for any enquiry...
Reviews
There are no reviews yet.