Storymoja Safari ya Chadi 5B
by STORYMOJA
Je, umewahi kumzuru jamaa yako yeyote lakini ukapanda gari la umma silo? Mwandishi wa hadithi ya Ziara ya Kutisha anasimulia jinsi alivyotatizwa na kuchanganyikiwa — wapi alipokwenda. Je, atamwamini nani amwelekeze njia? Soma hadithi hii, na nyingine za kusisimua, ugundue masaibu ya mwandishi na namna alivyoweza kuyakabili.
WhatsApp us for any enquiry...
Reviews
There are no reviews yet.