Made Familiar: Dereva wa Gari Jekundu level 1
KShs200.00
by Zawadi
Toma na Bella wanataka kwenda_ shuleni. Wanaona gari jekundu karibu na nyumbani kwao.
Dereva wa gari hilo anajitolea kuwapeleka shuleni. Je, dereva ana nia gani? Je, Toma na Bella watakubali awapeleke shuleni?
Reviews
There are no reviews yet.