Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Gredi 8 (Approved)
Roll over image to zoom in
KShs960.00
Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kimeandaliwa kwa ustadi kuzingatia Mtaala wa Umilisi wa Gredi ya 8. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kumudu stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi kwa njia inayoafiki kiwango chake.
Yaliyomo
Kitabu hiki cha mwanafunzi kina mazoezi na mijarabu anuwai, kama vile:
-Shughuli kwa Mwanafunzi
-Shughuli ya Wanafunzi Wawiliwawili
-Shughuli ya Vikundi
-Shughuli ya Nyumbani
-Shughuli ya Ziada
-Tamthmini ya Mwisho wa Mada
Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina Mwongozo wa Mwalimu unaoandamana nacho ili kumwongoza mwalimu na kumpa mapendekezo ya ufunzaji.
Reviews
There are no reviews yet.