Samaki Watatu na Wavuvi by Sasa Sema
by Sasa Sema
Walikuwa samaki watatu wenye sifa tofauti tofauti. Wavuvi wawili walitaka kuwavua. Kunaswa au kutonaswa kwao kutategemea akili za kila mmoja wao.
Samaki Watatu na Wavuvi (Pepea na Kipepeo 28) ni kitabu kinachonuiwa kumpa mwanafunzi fursa ya kufanya mazoezi ya kusoma kwa ziada huku akijiburudisha na kujifunza mambo kadhaa muhimu. Kinaweza kutumiwa pamoja na kitabu chochote cha kozi.
WhatsApp us for any enquiry...
Reviews
There are no reviews yet.