OUP Soma Nasi Kusoma na Kuandika Teachers Guide … by Oxford

KShs450.00

In stock

by Oxford
Soma nasi, Kusoma na kuandika Kisuiahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi zo kusikiliza, kuzungumzo. kusoma no kuandika. Aidha, vino mazoezi murua ambayo yotampa mwonafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwo, maadili na kufahamisha kuhusu masualaibuka . Soma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili. Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 3 king mifano halisi no ya kutosho kumwezesho mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:
maelekezo ya kino kuhusu jinni ya kutathmini wanafunzi. Soma nasi, Kusoma na Kuandika Kisuahili, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja no Mwongozo wa Mwalimu vino shughuli, mazoezi no maelekezo tosha ambayo mwanafunzi no mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtalaa huu mpyo wa Umilisi.
Oxford. chaguo lako!

Compare
Category:
Be the first to review “OUP Soma Nasi Kusoma na Kuandika Teachers Guide … by Oxford”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?