MTP Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya 2 by MTP
by MTP
Baada ya kukitumia hiki kitabu, mwanafunzi ataweza;
- Kutumia mbinu zifaazo za usikivu katika mawasiliano katika mazingira yake.
- Kudhihirisha ufasaha wa kuzungumza
- Kusoma kwa ufasaha no kufahamu aina zozote za maandishi.
- Kuelezea mawazo, hisia na tajiriba kwa maandishi ya mkono au mbinu nyingine yoyote ya uwasilishaji.
- Kutumia sarufi ipasavyo katika mawasiliano.
- Kutumia msamiati ufaao katika mazingira yake kuwasiliana.
- Kuonyesha ukakamavu katika kuwasilisha masuala yanayomkabili na yanayokabill mazingira yake
WhatsApp us for any enquiry...








Reviews
There are no reviews yet.