Mpira wa Nyau na Hadithi Nyingine 2B
by STORYMOJA
Nyau anafurahia kupata mwaliko kuhudhuria arusi ya rafiki yake Chichi. Je, ni dansi za mbwa Zinazowafurahisha wanyama au ni vyakula Vitamu vitamu? Je, uamuzi wa paka kuwashtaki mbwa kwa mfalme wa mbwa utazaa matunda? Soma hadithi hizi ujue umuhimu wa urafiki kama ule wa Tutu na Nyau.
Mpira wa Nyau na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zinazolenga kukuza maadili ya upendo, heshima na umoja miongoni wa wasomaji.
WhatsApp us for any enquiry...
Reviews
There are no reviews yet.