Made Familiar: Ali apigania haki yake Level 2
by MWANGI
Ali, mvulana mwenye umri wa miaka kumi, anatamani kusoma hadi chuo kikuu. Hata hivyo, nyanya yake anamwagiza kumchungia
mbuzi badala ya kwenda shuleni. Ali anabuni mbinu za kurejea shuleni na wakati huo huo kuendelea kumsaidia nyanya yake. Je, juhudi
zake zitazaa matunda?
WhatsApp us for any enquiry...
Reviews
There are no reviews yet.