Longhorn: Sudi na Shada Watuzwa Grade 3 by Nyambeka

In stock

by Nyambeka
Sudi na Shada ni wanafunzi wa gredi ya tatu. Wakati wa sherehe shuleni kwao, wazazi wote wanavutiwa na mienendo yao. Mgeni wa heshima anawatambua na kuwatuza. Je, Sudi na Shada wamefanya nini kiasi cha kutuzwa hivi?
Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

Compare
Category:
Be the first to review “Longhorn: Sudi na Shada Watuzwa Grade 3 by Nyambeka”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

WhatsApp us for any enquiry...

See It Styled On Instagram

    No access token

Main Menu

Longhorn: Sudi na Shada Watuzwa Grade 3 by Nyambeka

Longhorn: Sudi na Shada Watuzwa Grade 3 by Nyambeka

Select at least 2 products
to compare