Longhon hadithi sudi na shada wasoma uzalendo by Clara Momanyi

KShs234.00

In stock

by Clara Momanyi
Sudi na Shada wanakuwa vielelezo vya wazalendo. Kwa wanafunzi wenzao, wanaonesha maana na manufaa ya uzalendo. Je, Sudi na Shada wanafanya nini kiasi cha kuwa mfano wa kuigwa?
Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewawao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanefunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

Compare
Category:
Be the first to review “Longhon hadithi sudi na shada wasoma uzalendo by Clara Momanyi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?