Longhon hadithi gari la maria by Sanja Leonard Leo

In stock

by Sanja Leonard Leo
Wakati wa somo kuhusu vyombo vya usafiri, Maria anaonesha kipawa cha kipekee. Anawashangaza wanafunzi wenzake anapowaonesha kinyago cha gari alichokitengeneza mwenyewe. Je, Maria aliwezaje kukitengeneza kinyago hiki kilichowavutia wanafunzi wenzake zaidi?
Hadithi Mufti za Lenghern ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

Compare
Category:
Be the first to review “Longhon hadithi gari la maria by Sanja Leonard Leo”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

WhatsApp us for any enquiry...

See It Styled On Instagram

    No access token

Main Menu

Longhon hadithi gari la maria by Sanja Leonard Leo

Longhon hadithi gari la maria by Sanja Leonard Leo

Select at least 2 products
to compare