Kiswahili Kitukuzwe kidato cha 4 Mwongozo wa Mwalimu by Watuha
KShs830.00
by Watuha
Hili ni toleo la pili la Kiswahili Kitukuzwe Darasa la Nne Mwongozo wa Walimu. Kitabu hiki ni cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinane vya walimu vya lugha ya Kiswahili kwa shule za msingi. Mwongozo huu wa walimu umeandikwa kwa njia itakayomfaa mwalimu kwa kumwangazia namna ya kushughulikia somo analofundisha. Mapendekezo ya shughuli za mwalimu na mwanafunzi yametolewa hatua kwa hatua katika kila somo. Vifaa anavyoweza kutumia mwalimu vimependekezwa kama inavyohitajika kuambatana na silibasi. Inapobidi, maelezo na mifano zaidi ya funzo husika yametolewa kwa mwalimu iii aweze kulikabili funzo hilo kwa ujasiri. Hatimaye majibu ya maswali na mazoezi yametolewa ambapo mwalimu anaweza kuyalinganisha na majibu yake mwenyewe au ya wanafunzi hasa pale ambapo jibu si moja tu. Vitabu vifuatavyo vya Kiswahili ambavyo vimechapishwa na KLB, pia vyapatikana katika mfululizo huu:
Reviews
There are no reviews yet.