JKF Nyota ya Kiswahili Grade 3 (Approved) by “Salim,Nganje”

KShs445.00

In stock

by “Salim, Nganje”

Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wa vitabu vya kiada kwa Gredi ya Tatu.
Kimeandikwa kuambatana na mtalaa mpya. Kitabu hiki kimelenga kumwongoza mwanafunzi katika masomo yake ya lugha ya
Kiswahili kwa kutimiza maarubu ya mtalaa wa kiwango husika.
Ndani yake mna mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yao.
Kimezingatia stadi zote za kujifunza lugha, yaani:
(i) Kusikiliza
(ii) Kuzungumza
(iv)Kusoma
(vi)Kuandika
(v)Msamiati
(vi)Sarufi
Mwanafunzi amepewa nafasi ya kujifunza mwenyewe kutokana na picha maridhawa,
hadithi, mashairi na michezo murua. Ili kuzidisha hamasisho la ujifunzaji,
mwongozo maalumu umeandaliwa ili kuwapa walimu mbinu thabiti za kuuchochea ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi.
Ili kutathmini kiwango cha ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi kitabu hiki kimetoa mazoezi ya kutosha
yatakayowawezesha kupata:
– Umilisi wa kimsingi
– Maadili ya kimsingi
– Uwezo wa kuyashughulikia masuala mtambuko

Compare
Category:
Be the first to review “JKF Nyota ya Kiswahili Grade 3 (Approved) by “Salim,Nganje””

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?