Eliana Binti Mfalme na Hadithi Nyingine level 3
by QUEENEX
Eliana Binti Mfalme ni hadithi yenye upekee wa kupigiwa mfano. Hadithi hii ni teule miongoni mwa hadithi nyingine nyingi, inayomfunza mwanafunzi msomaji umuhimu wa maadili. Ni hadithi inayosimulia kisa cha Eliana, ambaye ni binti wa mfalme. Marafiki zake Eliana wanampangia njama ya kumuumiza kutokana na roho zao za wivu.Je,ni nini kinatokea mwishoni?
WhatsApp us for any enquiry...
Reviews
There are no reviews yet.