-
Get it Right Kiswahili Kidato 3 na 4 marudio
by N.P. Kamithi
GET IT RIGHT KISWAHILI KIDATO CHA 3 NA 4 ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi wa kupigiwa mfano. Gharadhi ya kitabu hiki ni kuwajengea wanafunzi wa kidato cha tatu na cha nne msingi imara wa kukabiliana na mtihani wa kitaifa (K.C.S.E), Ni kitabu ambacho kinakamilishana na kujalizana na GET IT RIGHT KISWAHILI KIDATO CHA 1 NA 2. Bila shaka wanafunzi wa kidato cha tatu na cha nne watanufaike pakubwa kutokana na dafina hii iliyotayarishwa kwa weledi mkubwa.
ISBN: 9789966193469
-
Kamusi ya Semi-Toleo Jipya by Ndalu,Kingei
by Ndalu, Kingei
Toleo Jipya Ia Kamusi ya Semi ndicho kitabu cha pekee kilichokusanya zaidi ya semi elfu nne. Kitabu hiki kinajumuisha semi, maana yake, pamoja na mifano faafu. Ufafanuzi wa msamiati umetiliwa maanani huku maana kadhaa za semi zikitolewa. Aidha, semi zilizomo humu kitabuni zimepangwa kialfabeti ili kurahisisha urejeleaji. Toleo hili Jipya Ia Kamusi ya Semi ni kitabu kinachowafaa wanafunzi na walimu wa kila daraja: shule za msingi, za upili na hata vyuo vikuu. Hii ni dafina kuu kwa wapenzi wote wa lugha na fasihi ya Kiswahili. Kitula King’ei ni mwalimu, mwandishi, mtafiti na msomi wa lugha na fasihi ya Kiswahili aliye na tajriba kubwa sana. Kwa sasa, ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. Ahmed Ndalu amefundisha Kiswahili katika shule za upili na vyuoni, na vile vile kuandika vitabu kadhaa. Hivi sasa, amestaafu kazi ya ufundishaji na anajishughulisha na utafiti na uandishi wa vitabu vinavyoshughulikia nyanja tofauti tofauti za Kiswahili. -
Dira ya Kiswahili Marejeleo Kamili ya KCPE by Wafula wa Wafula, Vidija…
by Wafula wa Wafula, Vidijah Dalizu, Muriuki Gikunju
DIRA YA kISWAHILIÂ Kimeandikwa kumsaidia mwanafunzi na mwalimu. Kimezingatia stadi za lugha tano:
Kusikiliza na kuongea, Kusoma, Sarufi, Msamiati na Kuandika.
Katika kiwango hiki, ni muhimu mwanafunzi kujenga na kukuza stadi za lugha ili kujiamini na kukomaa katika Kiswahili.
muundo wa kitabu
1. Kuna sura 15: Kila sura ina sehemu ya Kusikiliza na kuongea, kusoma, Kuandika, Sarufi na Msamiati.
2. Baada ya kila sura kuna kibindo cha maswali. Sehemu hii imejumlisha maswali kutoka sehemu mbalimbali na yanakuza stadi za lugha.
3. Mwisho wa kila sura kuna Majaribio.
4. Kuna mihula mitatu.
5. Mwisho ni Malibu ya mazoezi na majaribio ya mitihani yote. -
Our Lives Today Social Studies Std 8 by Kamau
Our Lives Today: Social Studies is an innovation series that exhaustively addresses the objectives and requirements of the revised Social Studies syllabus. The series combines knowledge acquisition with fun elements to deliver an exciting learning experience. Developed by a team of subject experts and experienced teachers, this series aims at moulding learners that are well prepared for examinations and confident in their knowledge of the environment.
Our Lives Today: Social Studies 8 offers:
- An integrated approach with links to other learning areas and to everyday life.
- Interactive activities and exercises that stimulate learners’ interest.
- A wide range of sharp and clear maps, illustrations and photographs in full colour.
- Â An attractive, relaxed design and layout.
-
Kiswahili Sanifu Darasa la 8 by Bakhressa
by Bakhressa
Kiswahili Sanifu (toleo jipya) ni kozi inayotokana na utafiti wa kina kuhusu mahitaji ya wanafunzi wa shule za msingi katika kujifunza lugha ya Kiswahili. Kozi hii itawawezesha wanafunzi kuinua viwango vyao vya msamiati. Pia itawapa fursa ya kupata na kutumia katika maisha yao maarifa mbalimbali watakayojifunza. Isitoshe, kozi hii itawapa nafasi ya kusoma kwa matengo anuwai na kujieleza kikamilifu wakitumia lugha ya Kiswahili sanifu. -
Longman Elementary Dictionary
A unique combination of dictionary and thesaurus that is fun and simple for children to use. The colourful visuals are perfect for young learners and the word families, word origins and word Building boxes all increase vocabulary and help students become better writers. Also available: a pedagogical guide that helps you use this dictionary to teach vocabulary.
-
Mazoezi na Marudio Mufti ya Kiswahili 8 by Wallah Bin Wallah
by Wallah Bin Wallah
Mazoezi na Marudio Mufti ya Kiswahili, Darasa la 8 ni kitabu kilichoandikwa kwa weledi mkuu kwa madhumuni ya kumwandaa na kumnoa mwanafunzi anayejitayarisha kwa mtihani wa somo la Kiswahili – K.C.P.E. Kitabu hiki kimeandikwa kwa kuzingatia silabasi mpya ya shuleza msingi. Kinalenga kuhamasisha na kupiga msasa usasa wa kutoa mazoezi na marudio kwa wanafunzi na wote wanaosoma lugha ya Kiswahili katika Afrika Mashariki, ujirani wake na kote ulimwenguni.Kitabu hiki kimezingatia msamiati mwafaka na sahihi, miundo, mitindo na mbinu zinazotumiwa katika kuandaa na kutahini somo la Kiswahili katika ngazi ya K.C.P.E.Kwa mwalimu, kitabu hiki chenye karatasi themanini (80) za maswali ya mazoezi ya K.C.P.E pamoja na majibu yake ni nyenzo ya kipekee ya kuwatathmini, kuwaboresha na kuwaandaa wanafunzi kwa mtihani wa kitaifa. Katika maswali haya mna mazoezi ya mazoea, uzoefu na kuzoesha ili mwanafunzi au yeyote akitumiaye kitabu hiki apate kichocheo, mwamko na hamu kiasi cha kwamba akimaliza zoezi moja aendelee kufanya jingine na jingine hadi ajikute amekuwa mzoefu wa mazoea ya kufanya mazoezi ya Kiswahili Mufti.Vivuto na vivutio halisi katika kitabu hiki ni jinsi maswali yalivyoulizwa kwa namna ya kuchangamsha na kudadisisha. Fauka ya hayo, vifungu vya ufahamu vina upekee kwa maana ya kuhekimisha, kushajiisha, kunasihi na kuarifisha, kwa maarifa kemkemu. -
Mentor Topical KCPE Encyclopedia by “Mugo, Maina”
by J.Mwangi, P.M. Warutere, L.N, Mwaura
The MENTOR Topical KCPE Encyclopedia:
– ls a comprehensive revision series that has questions covering classes 4 to 8-syllabus as set out by the Kenya Institute of Curriculum Development (KICD).
– Has involved extensive research by the contributing authors, thus includes revision questions covering contemporary issues in the current society.
– Systematically covers topical questions to help the learners thoroughly revise for the KCPE examinations.
– Has presented the questions in a simplified language that is easy for the learner to understand.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books