-
Distinction Kiswahili for Primary Teacher Education. by KLB
by KLB
Lengo kuu la elimu ya vyuo vya ualimu vya elimu ya msingi ni kukuza ujuzi wa kinadharia na kiutekelezi wa kimsingi kuhusu taaluma ya ualimu, ili mielekeo na uwezo wa mwalimu ulengwe katika maadili ya kujitolea na umilisi katika taaluma hii. Mfululizo wa KLB’S DISTINCTION PTE umeandaliwa ili kutilia maanani lengo hili. Mtazamo unaozingatiwa unatambua ukweli kwamba mwanafunzi wa shule ya msingi ni muhimu sana katika elimu ya vyuo vya ualimu vya elimu ya msingi. Dhamira ya mfululizo huu ni kuendeleza uelewa na ujuzi kwa kila mkufunzi-mwalimu wa shule ya msingi ili aweze kufaulu kielimu.DISTINCTION KISWAHILI for PTE ni kitabu kinachotimiza mahitaji ya silabasi mpya ya Kiswahili kwa vyuo vya ualimu vya elimu ya msingi. Kinamboresha mwalimu kwa kumpa mbinu mwafaka za kufunzia stadi zote za lugha—Kusikiliza na Kuongea; Kusoma na Kuandika. Nyanja zingine zinazoshughulikiwa ni kama vile: Historia ya Kiswahili, Fasihi, ikiwemo fasihi ya watoto, Msamiati wa Masuala ibuka, Mbinu za kufundishia Kiswahili, Matayarisho kwa mwalimu na Jinsi ya kutathmini wanafunzi.Mazoezi kemkem yametolewa baada ya kila funzo, na sampuli za mitihani ya Vyuo vya Ualimu vya elimu ya msingi mwishoni mwa kitabu. Haya yatamwezesha mkufunzi kujizatiti vilivyo katika kukabiliana na mtihani wa vyuo vya ualimu vya elimu ya msingi, na baadaye katika kazi yake ya ualimu hasa katika ufundishaji wa Kiswahili. Kitabu hiki ni muhimu pia kwa walimu walio nyanjani na wote wanaonuia kuendelea na elimu ya juu katika somo la Kiswahili. Vilevile kitawafaa wanafunzi, walimu na wasomi wa Kiswahili katika vyuo vikuu na taasisi nyinginezo. -
Read and Grow Moran ECD: Fun at Home … by Moran
by Moran
Read and Grow makes reading fun. Both early readers and late readers will find it easy to read. The story books are useful for both classroom and home reading. Let the learners learn the appropriate themes, activities, attitudes and words. -
Read and Grow Moran ECD: Eat and Work … by Moran
by Moran
Read and Grow makes reading fun. Both early readers and late readers will find it easy to read. The story books are useful for both classroom and home reading. Let the learners learn the appropriate themes, activities, attitudes and words. -
Mentor Environmental Act Learner’s PP2 Trs (Appr) by Gathogo
by Gathogo
About this Teacher’s Guide This Teacher’s Guide has been developed to facilitate the teacher while implementing the Competence Based Curriculum (CBC).The Teacher’s Guide will assist the teacher to come up with interesting and appropriate activities to achieve the specific learning outcomes, develop core competencies, integrate key inquiry questions and nurture desirable values.The teacher is also guided on how the activities will empower learners to effectively address issues and challenges in their day to day life. In addition, the guide also makes cross reference to the learners’ workbook that accompanies the Teacher’s Guide.The guide aims at providing guidance to the teacher in developing activities for learners and stimulating discussions among the learners. It is always advisable that the teacher prepares adequately for the learning experiences well in advance.A number of learning experiences that the learners could engage in have been suggested.The teacher is not limited to the activities and pictures in the Teacher’s Guide and learner’s workbook but can generate more activities and pictures from examples given.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books