-
by NGUGI
Sudi na Shada ni wanafunzi ambao wanasoma katika gredi ya tatu. Wanasoma kwa bidii ili kufanya kazi mbalimbali. Je, Sudi na Shada wanataka kufanya kazi zipi maishani? Fikra zao kuhusu kazi hizi ni zipi?
Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.
KShs300.00 -
KShs940.00
-
A Fool’s Money and other Stories Grade 5
by Storymoja
Okal wants to make money. Will he be able to? Gitonga’s donkey is flogged mercilessly. Who will come to it’s rescue? Alupe agrees to eat sweet groundnut cake. What happens to him? Aluku and Naliaka set a trap to catch the night runner. How does that go? Read these stories to follow the different characters and learn important lessons about gambling, animal rights, kindness, and obedience.
KShs500.00A Fool’s Money and other Stories Grade 5
KShs500.00 -
A LIVING MATHEMATICS FOR ECD by Patrick Migui
by Patrick Migui
KShs230.00 -
A to Z Children’s Dictionary by Muitungu
by Muitungu
A to Z Children’s Dictionary is an English dictionary targeting anyone who is starting to read and learn in English. It provides simple and clear meanings of over 2 000 headwords. Each meaning is accompanied by an example sentence. The example sentences are drawn from the African context. There are over 600 colour pictures to enhance understanding of how to use the words correctly. The fun activities are tailored to enhance the acquisition of dictionary skills.KShs850.00A to Z Children’s Dictionary by Muitungu
KShs850.00 -
-
KShs660.00
Access Kiswahili Sahili Grade 6 (Approved)
KShs660.00 -
Access Tuchangamkie Kusoma Grade 6
by ACCESS
Tuchangamkie Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya rejea kuhusu stadi ya kusoma. Chini ya mfumo wa Mtaala wa Kiumilisi (CBC), stadi ya kusoma imepewa nafasi mahususi ambapo mbinu na aina za kusoma vinatiliwa mkazo,ili kutosheleza mahitaji haya ya mtaala wa Kiumilisi, vitabu vya Tuchangamkie Kusoma_ vimeandikwa kukidhi haja ya wanafunzi wa Gredi ya 4, 5 na 6 kuambatana na mahitaji hayo ya Mtaala wa Kiumilisi.
Kitabu hiki kinashughulikia aina zote za kusoma: kusoma Kwa ufasaha, kusoma kwa kina, kusoma kwa ufahamu na kusorma kwa mapana kwa nijia rahisi na nyepesi kueleweka. Kina mifano ya kutosha na mazoezi maridhawa yanayompa mwanafunzi umilisi ufaao kuyakabili maisha na kumwandaa vyema kwa ajili ya mitihani yake.
KShs670.00Access Tuchangamkie Kusoma Grade 6
KShs670.00 -
Ajali ya Keki 3A
by STORYMOJA
Mpango wa Leshan, Aida na marafiki zaounatumbukia nyongo baada ya qjali ya keki. Je, wa kulaumiwa ni nani?Wataendelea na mpango wao au watautupilia mbali? Unafikiri mbuzi kisirani anayeleta hasara anafaa kufanyiwa nini? Soma hadithi hizi ufahamu jinsi Aida na nduguye Leshan pamoja na marafiki zao wanavyokabiliana na changamoto mbalimbali huku wakijifunza umuhimu wa_ kushirikiana, kuheshimiana na kudumisha upendo katika jamii.
Ajali ya Keki na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zinazolenga kukuza maadili ya upendo, umoja na heshima miongoni mwa wasomaji.
KShs470.00Ajali ya Keki 3A
KShs470.00 -
Akili pevu Kiswahili Angaza Kitabu cha Mwanafunzi Grade … by Shabaan Otieno, Mziwanda…
by Shabaan Otieno, Mziwanda Banda
Kiswahili Angaza ni kazi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu: 1. Kusoma ni kutagusano; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi; 2. Wanafunzi wancionza kilo somo kwa kuelezea picha au hall amo matukio wanayoyafomu huku wakijadiliana; 3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambuo, kubainisha, kujenga na kuhakiki; 4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno no isiyokuwa no maneno mogumumagumu no misomiati ya kubaboisha; 5. Mwanafunzi no mwanafunzi mwenzoke, pamoja na mwolimu, mzazi na hata jornii nzimo wanashirikishwa ndani ya kitobu hiki.KShs550.00