• Tenzi Tatu za Kale by MM Mulokozi

    by MM Mulokozi
    Kitabu hiki ni mkusanyo wa tenzi tatu za kale maarufu: Fumo Liyongo, uliotungwa na Muhamadi Kijumwa; Al Inkishafi, uliotungwa na Sayyid Abdalla bin Ali; na Mwanakupona, uliotungwa na Mwana Kupona binti Mshamu. Kitabu kimehaririwa na M.M. Mulokozi, profesa mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kilichapishwa na Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili mwaka 1999.Hizi ni kati ya tenzi maarufu kabisa katika ki-Swahili. Kwa msingi wa sanaa na maudhui, tenzi hizi zina hadhi kamili ya kuwemo katika orodha ambayo kwa ki-Ingereza huitwa “classics.”Fumo Liyongo ni hadithi inayomhusu shujaa Fumo Liongo, ambaye mimi, kutokana na utafiti wangu wa miaka mingi, napendelea kumwita Liongo Fumo. Huyu ni shujaa wa kale, labda miaka elfu moja iliyopita, na ndiye anayesifika kuliko wote tangu zamani katika jamii ya wa-Swahili.Alikuwa pandikizi la mtu, mwenye vipaji kadhaa: kuwashinda maadui, shabaha katika kutumia upinde na mshale, ufundi wa kutunga nyimbo na mashairi. Juu ya yote, alikuwa muungwana sana, mfano wa kuigwa. Lakini alifanyiwa visa na ndugu yake ambaye alikuwa mfalme, hadi hatimaye akauawa na kijana mdogo, ambaye alikuwa mpwa wake.Al Inkishafi ni utenzi wa tafakuri na falsafa kuhusu maisha, ambao umejikita katika kuuliza maana ya maisha ni nini. Mtunzi alilishughulikia suali hili kwa kuzingatia jinsi ustawi na utukufu wa wa-Swahili, hasa wa mji wa Pate, ulivyoanguka. Pate ulikuwa mji maarufu, wenye hadhi na mali, lakini kutokana na masaibu mbali mbali, ullipoteza hadhi hiyo na kuishia kuwa magofu.Hii dhamira imeshughulikiwa tangu zamani na waandishi wengi wa pande za Arabuni, Uajemi, Ulaya na sehemu zingine duniani. Wanafalsafa pia wamehoji maana ya maisha, hasa wanafalsafa wa mkondo wa “existentialism.”Mwana Kupona ni utenzi uliotungwa na mama kumuusia binti yake kuhusu maisha ya ndoa, wajibu wake katika maisha hayo, na wajibu wake kwa watu kwa ujumla. Huu ni utenzi maarufu sana, ambao ni chimbuko la tungo za waandishi wengine, kama vile Shaaban Robert.

  • Terian’s Demystifying KCSE Biology Student’s Practical

    by NESTOR, MBALUKA

    TERIAN’S DEMYSTIFYING KCSE BIOLOGY STUDENT’S PRACTICAL WORKBOOK has been specially designed to assist the biology candidate to prepare adequately for KCSE and in the proper mastery of biological principles. Key features of this book include:

    – Sample questions covering all aspects of KCSE Biology Practical demands.
    – Inclusive of past KCSE 231/3 questions.
    – A rich pool of hands-on skills and experimental questions.
    – Sample photographic questions.
    – Questions are arranged topically for effective use throughout the four-year secondary course.
    – 20 Complete sample 231/3 papers for adequate preparation.

  • Test it & Fix it KCSE English by Bukenya

    Test it & Fix it KCSE Revision is a revision series that provides an in-depth coverage of the secondary syllabus.Developed by a team of experienced authors, examiners and teachers, each book helps students, and especially candidates, revise what they have learnt and be confident as they face examinations. The books also assist students to identify any problems they may have in a subject and fix them.

  • Test it & Fix it KCSE Geography

    by Kibuuku
    Test it and fix it: KCSE revision is a revision series that provides an in-depth coverage of the secondary school syllabus. Developed by a team of experienced authors, examiners and teachers, each book contains tests designed to help candidates identify any problems they may have in a particular subject and fix them.  why Test it & Fix it? Test it & Fix it: KCSE Revision Geography provides:  Essential examination skills, including key words used in examinations.  Topical revision questions based on each specific objective of the Geography Syllabus. Model examination papers to help candidates practise answering questions in the KCSE examination. Questions developed in the current KNEC examination standards, including the use of colour photographs.  Answers for all the questions.  Accurate and up-to-date information and maps, including counties.  Information emerging issues for different topical concerns such as oil discovery in Uganda and Kenya.

  • Test it & Fix it KCSE Geography by Kibuuku

  • Test It & Fix It KCSE Revision Kiswahili – 4th Edition

    Ijaribu na Uikarabati, Marudio ya KCSE toleo jipya ni kimoja kati ya msururu wa vitabu vya marudio, yaani Test it & Fix it revision Series. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lengo la kumwezesha mwanafunzi kuboresha matokeo katika mtihani. Mada zote kwenye silabasi ya shule za sekondari zimeshughulikiwa ikiwa ni pamoja na mifano ya mitihani ya mwigo na ushauri kwa mwanafunzi ili kuhakikisha kuwa amejiandaa vilivyo kuukabili mtihani.

    Katika Ijaribu na Uikarabati, Marudio ya KCSE toleo jipya utapata:

    • Vidokezo vya jinsi ya kufaulu katika mtihani
    • Mambo muhimu ya kukumbuka unapojiandaa kwa mtihani
    • Muhtasari wa vipengele vyote vya lugha kwenye silabasi, kuhusiana na karatasi zote tatu za lugha ya Kiswahili, yaani, sarufi na matumizi ya lugha, isimujamii, ufahamu na ufupisho, insha, na fasihi simulizi na andishi.
    • Tahadhari kwa makosa ya mara kwa mara ambayo wanafunzi hufanya katika mtihani na jinsi ya kujiepusha nayo
    • Mifano na mazoezi ya kutosha kwa kila kipengele cha lugha kilichoelezwa
    • Mitihani kumi na tano ya mwigo wa KCSE
    • Majibu ya maswali yote yaliyomo kwenye kitabu.

    Vitabu vingine kwenye msururu huu

    • Test it & Fix it: KCSE Revision Mathematics
    • Test it & Fix it: KCSE Revision Biology
    • Test it & Fix it: KCSE Revision Physics
    • Test it & Fix it: KCSE Revision Chemistry
    • Test it & Fix it: KCSE Revision English
    • Test it & Fix it: KCSE Revision Geography
    • Test it & Fix it: KCSE Revision Business Studies
    • Test it & Fix it: KCSE Revision CRE
    • Test it & Fix it: KCSE Revision Agriculture
    • Test it & Fix it: KCSE Revision History

Main Menu