-
Kamusi ya Visawe by EAEP
Kamusi ya Visawe
Swahili Dictionary of Synonyms
Kamusi ya Visawe ni kamusi ya kwanza kushughulikiwa na kuchapishwa katika Kiswahili kwa madhumuni ya kutoa tafsiri ya neno fulani kwa kupata neno ama maneno mengine yenye maana halisi au yenye maana halisi au yenye maana ya karibu na neno linalotafsiriwa.
Kamusi hii imekusanya vidahizo visivyopungua 14,000 vingine vikiwa na visawe vine na zaidi. Kamusi hii pia imejaribu kuonyesha hall tofauti tofauti za vidahizo kama vile vitenzi au jina. Kwa hivyo, ni wazi kuwa lugha ya Kiswahili imejaa utajiri mwingi wa msamiati na mtumiaji yeyote wa lugha hii, anayetumia Kamusi ya visawe, hana haja ya kutapatapa kujieleza kwani atakuwa amesheheni maneno tele yenye maana moja.
Kamusi hii ni akiba kubwa yenye manufaa mengi hasa kwa wanafunzi wa shule za msingi, shule za upili, Vyuo Vikuu na pia kwa walimu na wanafunzi wa lugha ya Kiswahili popote pengine.
Mohammed Abdulla Mohamed alizaliwa Zanzibar na kusomea huko huko. Alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salamu na kupata shahada ya BA Hons na MA katika Elimu. Baadaye alijiunga na Chuo kikuu cha Columbia ambapo alipata shahada ya Ph.d katika isimu ya kufundisha. Alipata shahada ya MSc (Hons) katika Chuo Kikuu cha New York baadaye. Pia amewahi kuwa mhadhiri katika vyuo mbalimbali nchini Tanzania na Kenya.
Said A. Mohamed alizaliwa Ugunja mwaka wa 1947. Alisomea huko huko na kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Kisha Chuo Kikuu cha Leipzig, Ujerumani. Amefundisha katika shule za upili na Vyuo mbalimbali.
Usanifu wa jalada: Adrian Kheri Yongo
East African Educational Publishers Ltd
Nairobi. Kampala .Dar es Salaam • Kigali
Kamusl ya Vlsawe
-
Spot on Grammar for Secondary Schools by Kioko
Students in secondary schools are required to acquire communicative competence in the. English language. They will find this competence useful even after completing school. The Spot On series is designed to equip students with long-lasting English skills. Spot On grammar provides students and teachers of English with a detailed and an all-encompassing resource to cater for their grammar needs. It is a reference and practice book for students in secondary schools and colleges. Spot On Grammar provides: straightforward explanation of aspects of English grammar interspersed with practical everyday examples. over 200 exercises for practice and also for testing understanding. answers to all the questions in the exercises. usage tips which pinpoint and iron out confusing aspects of grammar. thorough coverage of the grammar content recommended in the English syllabuses in the region. This book is meticulously written by English language experts who have a wealth of experience in teaching, and in writing English language books.
-
Kamusi Fafanuzi ya Methali by Timothy Arege,Mwalaa Nya…
by Timothy Arege, Mwalaa Nyanje
Kamusi Fafanuzi ya Methali ni kitabu muhimu sana kwa wanafunzi na walimu wa shule za msingi na upili. Kitawafaa wanafunzi wa vyuo vya ualimu na vyuo vikuu pamoja na watafiti na wapenzi wa lugha ya Kiswahili katika viwango vyote. -
Kiswahili Fasaha Kidato cha 2 by Waititu
by Waititu
Kiswahili Fasaha ni kitabu kinachoakisi mtazamo teule wa kujifunza lugha ya Kiswahili kulingana na mahitaji ya wanafunzi wa shule za sekondari na kuwiana na silabasi mpya. Kitabu hiki kinajenga na kuimarisha msingi thabiti wa stadi zote za lugha ya Kiswahiti, matumizi ya lugha, fasihi, ufasaha wa lugha na utunzi ili kumtayarisha mwanafunzi kimapana na kikamilifu awe mwanafunzi fasaha na mweledi. Kiswahili Fasaha, Kidato cha Pili, ni cha pili katika mfululizo wa vitabu vinne. Kitabu hiki kinaambatana na Mwongozo wa Mwalimu. -
Kiswahili Fasaha Kidato 3
Kiswahili Fasaha ni kitabu kinachoakisi mtazamo teule wa kujifunza lugha ya Kiswahili kulingana na mahitaji ya wanafunzi wa shule za sekondari na kuwiana na silabasi mpya.
-
Chemistry Today Form 3 by Mbaka Njeru, Samuel mwan…
by Mbaka Njeru, Samuel mwangi
Chemistry Today is a new series in chemistry specially designed to fully meet the objectives of the chemistry syllabus for secondary schools. The series has been developed by a team of teachers with vast experience in teaching and examining chemistry.
Chemistry Today Student’s Book 3
Has been written in a simple language that is easy to understand.
Offers a step-by-step guide to practical activities to the enable student to carry out experiments successfully and make accurate inferences.
Is highly illustrated to assist the student to understand concepts easily.
Highlights new developments in chemistry to bring the learner up-to-date with the most recent discoveries and developments in the subject.
Contains exciting and inspirational stories about pioneer scientists.
Includes a revision checklist to guide the student through the key concepts in each topic. -
-
High Flyer Series KCPE Combined Encyclopaedia Std 8
High Flyer Series KCPE Combined Encyclopaedia Std 8
-
Brighter Grammar Book 3
by OGUNDIPE
in this book special attention is paid to the formation and use of the various tenses of the verb. Other points also dealt with are: Pronouns, possessive, interrogative, demonstrative; Adverbs, of degree, of quantity, interrogative adverbs, comparison of adverbs, adverbs and prepositions; • Verbs, mood voice; Sentences, simple, compound, complex; Clauses, principal, adjective, adverb, noun; Direct and Indirect speech. As in oil books, there are numerous exercises on every section of the work.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books











